Mke wangu kafumania SMS za mchepuko, anataka nimpe Tsh. Milioni 1 kumpoza machungu

Enzi zangu kipindi nina ndoa ikitokea misala Kama hiyo nilikuwa sikawii kujidondosha mtaani kwa kujifanya nina kisukari na presha
 
mkeo umesema ana mtoto wa miezi 5. inawezekana ni ile hali ya uzazi inamfanya kuwa close na mtoto zaidi na kama ananyonyesha ndo kabisaaa. Jitahidi kuwa naye karibu kipindi hichi mpeti peti msaidie baadhi ya vitu. Omba msamaha kwa kumsaliti mpe hata laki tano ajifanyie shopping asahau.
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Kana Hilo kosa sema sio wewe Kuna mtu aliazima simu Yako ,utakuja kunishukuru.
 
Ni kipengele aisee na ndio madhara kuingia kwenye Mahusiano na Dalali
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Usimpe pesa
 
Hesabu pesa zote ulizowahi kumpa mchepuko pamoja na Manunuzi yote alaf mkabidhi wife
 
Chukua tahadhari kabla ya hatari... Hiyo ni redflag kihisia hampo pamoja. Unapaswa kuliangalia kwa mapana inaelekea kakosa hisia na wewe na kwa sababu unafanya uzembe wa yeye kujua michepuko yako... Huo ni uzembe mkubwa sana unaufanya
 
Huyo ana tamaa ya hela... wenye hela watakugongea sana!
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijui hata nacheka nini. Ndo shida ya kuowa wachaga
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Ni mchaga huyo inaelezea mijamaa ikimpa elfu 20000 inaweza kutusua nyavu nimejua Kuna wanawake madishi yanayumba kabisa..
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Hahaha
 
😂😂😂😂😂😂😂Mjanja sana
 
Back
Top Bottom