Hahaa haaa 😂aiseeMpe mpe halafu ukishampa na wewe mvizie hata akijamba mbele yako Dai MILIONI 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa haaa 😂aiseeMpe mpe halafu ukishampa na wewe mvizie hata akijamba mbele yako Dai MILIONI 5
Fanya mchakato udukue simu yake! Fanya juu chini ufanye timing ya simu yake/zake japo wengine huwa wanajiongeza kuwa na line ya kificho..aisee nikweli Kuna kitu nlikiwaza hapo
Sim zake hazina password ila hasa anapeda sana sm ya toch anachat sana na anafuta sana sms anamtoto wa miez5Fanya mchakato udukue simu yake! Fanya juu chini ufanye timing ya simu yake/zake japo wengine huwa wanajiongeza kuwa na line ya kificho..
Fanya juu chini upate password za simu yake ingia kila sehemu mpaka kwenye ma faili ya voice chati e.t.c
Usisahau kuleta mrejesho.!
NB; Ukiona mwanamke au hata mwanaume haumii kwa kumfumania mwenzake aiseeh 100% kuna mtu anajipakulia huko pembeni.
Tena una bahati umeombwa hela, mi mtoto wa mama mkwe atakachotoa ni roho yake.Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Kitendo cha mke wako kuchunguza simu yako hiyo ni ishara kuwa anakupenda sana na pia kukubali kuzaa na wewe pia ni upendo maana kama usingekuwa anakupenda asingekubali kuzaa na wewe.Hapo nachoona mke wako kapoteza hisia na wewe ni kwasababu ya huwa unamcheat sio kwasababu anahitaji sana pesa hiyo ametumia kama tu imliwaze kiaina.Nini kifanyike ili mke wako arudishe hisia zake kwako tena?Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Huu ndio ushauri bora ufuatwe, tatizo letu vijana tunadhani kufanya fanya uzinzi ni ujanja ila in reality ni upuuzi hasa ukishakuwa nafamilia. Upuuzi wa baba au mama unaenda kupelekea matatizo ya kimalezi kwa watoto wasio na hatia.Don't entertain mediocre LIFE.
Jaribu kuwa na cleanest LIFE style
Mfano anakuomba pesa I million Ila, kesho usipo quit hiyo tabia haya mambo yanaweza kutokea
Kuua ndoa (divorce)
Magonjwa (HIV/AIDS)
Negativity 24/7 (mikosi)
Watoto kukosa malezi bora yenye msingi imara.
Ushauri
Try to quit UZINZI
Muheshimu mkeo
Revive ur marriage (Ifufue ndoa yako)
Stop to entertain negativity .✊🏿
kataaa acha usengeHabari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Jeraha la Moyo haliponywi kwa ZawadiKitendo cha mke wako kuchunguza simu yako hiyo ni ishara kuwa anakupenda sana na pia kukubali kuzaa na wewe pia ni upendo maana kama usingekuwa anakupenda asingekubali kuzaa na wewe.Hapo nachoona mke wako kapoteza hisia na wewe ni kwasababu ya huwa unamcheat sio kwasababu anahitaji sana pesa hiyo ametumia kama tu imliwaze kiaina.Nini kifanyike ili mke wako arudishe hisia zake kwako tena?
Kwanza unatakiwa umuombe mke wako msamaha wa dhati ubaki njia kuu achana na kuchepuka na uoneshe kwa vitendo kuwa umeacha hiyo tabia.
La pili jitahidi umuoneshe mke wako upendo kama kumletea zawadi, mtumie ujumbe mzuri hata kama hakujibu uoneshe jinsi gani ana umuhimu kwenye maisha yako,tokanae out mpeleke sehemu nzuri itakayoweza kureflesh akili yake na kumpa amani ya moyo, msifie sana kwa kupendeza au kwa jambo lolote unaloona ni jema amefanya.
NB: Ukifanya hivyo nilivyokushauri kama demu wako hajabadilika ujue hapo kuna njemba pembeni but kwa mwanamke yoyote kwa hivyo vitu lazima hisia zake arudishe eti Nifah Missy Gf mnaonaje
Unaishi na dalali kiufupiHabari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?