malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Ni hatari mkuu ana mambo haya kitambo unaweza safiri kikazi ndani unamuachia kila kitu na matumizi pesa unampa yakutosha gafla unaskia mtoto akiumwa je yaan yeye kama mungu atafanya mtoto aumwe yaana anataka Hela ziongezeke umpeKwa namna anavotanguliza pesa kutatua mambo,
haraka sana fata nyayo za Hakimi, siku si nyingi utalamba joker.
Jihami mapema kiongozi lolote laweza tokea hawa viumbe hawana huruma wala matumizi ya akili kwenye maamuzi, hisia zake ndo akili yake ukiona kapoteza hisia na wewe jipange kwa lolote.Nihatar mkuu anamambo haya kitambo unaweza safiri kikazi ndani unamuachia Kila kitu namatumiz pesa unampa yakutosha gafla unaskia mtoto akiumwa je yaan yeye kama mungu atafanya mtoto aumwe yaana anataka Hela ziongezeke umpe
Ofcoure Hana hisia namim..maana naweza nikakaa kimya mwezi nisimuomne Tendo kumuona atahitaji nae anauchuna Wala hajali Wala nin ndo kwaaza busy na watoto wakeJihami mapema kiongozi lolote laweza tokea hawa viumbe hawana huruma wala matumizi ya akili kwenye maamuzi, hisia zake ndo akili yake ukiona kapoteza hisia nawewe jipange kwa lolote.
kama unakiri hisia zake kwako zimekwisha basi elewa kuwa kuna sehemu amezihamishia hizo hisia, kabla sijasahau lipa faini ya fumanizi.Ofcoure Hana hisia namim..maana naweza nikakaa kimya mwezi nisimuomne Tendo kumuona atahitaji nae anauchuna Wala hajali Wala nin ndo kwaaza busy na watoto wake
Kweli kabisaYuko kimaslahi zaidi.
Kweli kabisakama unakiri hisia zake kwako zimekwisha basi elewa kuwa kuna sehemu amezihamishia hizo hisia
Ndo maisha ya ndoa hayo kuna level lazima zipitia, nyie saivi mko level ya kuvumilianaOfcoure Hana hisia namim..maana naweza nikakaa kimya mwezi nisimuomne Tendo kumuona atahitaji nae anauchuna Wala hajali Wala nin ndo kwaaza busy na watoto wake
Ha ha ha mkuu kabla hujasahaikama unakiri hisia zake kwako zimekwisha basi elewa kuwa kuna sehemu amezihamishia hizo hisia, kabla sijasahau lipa faini ya fumanizi.
Ndo milioni pesa yakutusaidia mim nayeye nawatoto wake piaNdo dawa yenu hiyo
Fire on fire!
🤣🤣🤣🤣Nihatar mkuu anamambo haya kitambo unaweza safiri kikazi ndani unamuachia Kila kitu namatumiz pesa unampa yakutosha gafla unaskia mtoto akiumwa je yaan yeye kama mungu atafanya mtoto aumwe yaana anataka Hela ziongezeke umpe
Kwao kwel Hakuna MadalaliHabari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?