Busy na watoto wake? Wakati anapigwa pigwa nje sana tu!Ofcoure Hana hisia namim..maana naweza nikakaa kimya mwezi nisimuomne Tendo kumuona atahitaji nae anauchuna Wala hajali Wala nin ndo kwaaza busy na watoto wake
Kwa tabia hizo probably hao watoto ni "WAKE"Ofcoure Hana hisia namim..maana naweza nikakaa kimya mwezi nisimuomne Tendo kumuona atahitaji nae anauchuna Wala hajali Wala nin ndo kwaaza busy na watoto wake
aisee nikweli Kuna kitu nlikiwaza hapoBusy na watoto wake? Wakati anapigwa pigwa nje sana tu!
Hivi mwanamke unamchukuliaje? Akikufuma ukiona kakaa kimya usidhani mjinga wewe una mchepuko mmoja na yeye hasira zake anaenda kumalizia nje huko.
Ndo ile kauli ya Ishi nao kwa Akili! Unavoona hana time na wewe ujue kwamba kuna mtu huko anaichakata vizur tu.
Take care
Mkuu watoto wote copy yanguKwa tabia hizo probably hao watoto ni "WAKE"
Sasa anaanzaje kukubabaisha "Msukuma wa GEITA"?Mkuu watoto wote copy yangu
Sms zenyewe zakuzagamuanaUsipompa atafanyaje? Ili tupime matokeo ya kitakachotokea na thamani ya pesa iliyotajwa.
Yaani sms tu umebanwa ukabananika? Kataa kabisa. Hata uletewe Biblia uape, apa unakataa.
Usikamatwe kiboya hivyo.
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Don't entertain mediocre LIFE.Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Mbona sababu ya kutokumpa 1M unayo Bro, unakwama wapi lianzishe kuwa yy ndo sababu!Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Hizi story za kughushi tunapoelekea tutanshirikisha na dci azifwatilieHabari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?