Mke wangu kafumania SMS za mchepuko, anataka nimpe Tsh. Milioni 1 kumpoza machungu

Kusoma kazi mkuu,hata picha tu huoni?Huyo manzi ako yupo kimkakati balaa,wenzio tuna wake wapigaji ila huyo wako kiboko.
 
Yaani unadhani mkeo hajui kama unapiga huko nje🤣 Mpe hiyo pesa sababu umeshindwa kumuheshimu, yaani hapo kakuambia kikubwa kua Hauna adabu.
 
😂😂 Murife run
 
Itakuwa kila akitaka Hela atapekua simu yako ili alianzishe , umwangukie akupige Hela ndefu kama hivyo
Itakiwa ni desturi ambayo umeianzisha
wewe mwenyewe ya Mtumwa wake.
Usikubali kuwa Mtumwa wa mtu yeyote.
 
Ukiimpa hizo pesa tu , ndoa ishakufa, jipe shughuli au hamisha akili kwenye kazi, kikuu hati zote kafiche kwengine na pin number zako zote badili .
 
Mkeo ni Gen Z.
 
Mpe milioni ili na yeye akahonge kijana wa kumkaza

Tumia akili

Analiwa nje huyo,umemfundisha analipiza
 
Hiii safi sana
 
acha mbamba mkuu, mpe hiyo hela yaishe.. kabla hajalipeka mbali ukaingia gharama kubwa
 
Hili balaa! Bora kubeba malaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…