Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Ushauri mbaya sana
.Je unataka wakauane??kuwa na Huruma.
LABDA INAWEZEKANA NDO HUYU ushimenBinam.....
Hivi ndio mambo gani ya kuja kunianika huku jf....[emoji45] [emoji45]
Kama uliona nakukera, kwanini haukuniambia tukiwa nyumbani, kuliko kunileta huku mitandaoni..[emoji25] [emoji25]
Basi sawa.
Leo ukirudi toka kazini, hauto nikuta hapa nyumbani kwako. Na nikifika kijijini nitamueleza shanga ambae ni mama yako, kwa yote haya ulivyo nitendea
🙁🙁🙁🙁Si binamu yako, mwache tu akusaidie kula mkeo kuliko kwenda kuliwa na watu baki.
Hivi wewe mwanaume rijali kabisaaa, anakuja mgeni wa kiume kwako, anajifanya yeye ndo mtawala wa nyumba, anatembea na vichupi ndani ya nyumba yako, anatoa mkeo out alafu wewe umetulia tu kisha unakuja hapa kulalamika, wewe unaakili kweli. Kwambi mimi ndo mkuu wa nyumba, hata akija baba yangu kwangu anatakiwa awe chini yangu na afanye nitakacho mimi.
Ohooooo.......[emoji134] [emoji134] [emoji134]LABDA INAWEZEKANA NDO HUYU ushimen
🙁🙁🙁🙁
Waheshimiwa nina mgeni ambae sasa anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta.
Nimewaandikia kwa sababu, huyu jamaa amenishangaza sana, imagine weekend hii iliyokwisha anashinda na boxer kutwa nzima tena kifua wazi, au kwasababu amevimba kifua anataka tumwone au?
Mke wangu na house girl wanafua nguo Jumamosi asubuhi eti anaenda pale awasaidie kufua, natoka ndani namuuliza wife mbona mgeni anafua nguo, najibiwa kuwa eti ameomba mwenyewe, hii ni sawa kweli?
Yote tisa, kumi ni Jana, inafikia hatua linamkuta wife jikoni anasonga ugali linaomba limsaidie kusonga ugali, mgeni gani wa namna hii?
Wadau nitumie njia gani kulitimua hili jitu hapo nyumbani? Kabla halijaleta madhara maana mdogo wa mke wangu naona kama yuko nalo karibu sana, pia wife kaniuliza kama mimi pia naweza kufanya mazoezi nikawa kama hilo jitu badala ya kitambi, ingawa alinieleza kwa utani huku tukifurahi na kutaniana ila najiuliza kwanini aseme sasa wakati hili jitu lipo?
Linakaa hapo sebuleni kwenye video hadi usiku mwingi likiwa na mdogo wa mke wangu bila kujali maadili.
Jumapili nilienda kwenye Bonanza la timu yetu ya veterans narudi nimekuta nyumba nzima hawapo wameenda beach wote pamoja na huyu jamaa.
Hivi unaendaje ugenini halafu unaanza kuleta ujuaji wa namna hii?
Wadau msaada wa mawazo unatakiwa haraka.
Hapa mwigobero muraMusoma sehemu mura?
Kaa karibu na mgeni usimwache peke yake ndiyo maana anaona rafiki yake ni mkeo siyo ww.Acha roho mbaya mkuu. Acha kumchukia jaribu kumzoea uwe karibu nae wewe kwanza kama mwanaume, kutoka nae na mambo mengine. Inaonekana wewe mwanaume mwenzie haupo karibu nae ndo mana anakuwa karibu na watu wengine walie karibu nae.
Kuhusu kusaidia kazi hata mimi nikienda kwa mtu siwezi kujitia ubosi kila kitu nifanyiwe. Ishi na mtu kwa faida hata kama mtu hatazamii wewe kufanya shughuli yoyote.
Dah. Namuonea huruma sana mtoa mada... Jamaa huwa linashinda kifua wazi, na wanaangalia muvi na shemela hadi usiku mnene (kifua wazi). Ninachoogopa ni kuwa atawarukia wote...ha hahahahaha kwanza hilo jitu lisipomgonga wife wako basi wengine wenye mwonekano wa hilo jitu watamla, fanya mazoezi ya kutafuta pesa kwa bidiii zaidi achana na likifua ila piga mazoezi kishikaji usipate magonjwa....
hilo lijitu liambie liache mazoea na wife hawa tunawaita wazee wa kutengeneza mazingira anaweza kuwagonga wote wa kike humo ndani kiutani utani tu kuwa makini... huwa hawatongozi yani ..
kama unaweza liambie hilo jitu lisepe tu mazoea hutaki jitu kubwa
Joto la Dar hajazoea usihofu.😉😉Sasa mgeni kaja lakini ww unajifanya bosi... Hutaki kuwa karibu nae.. Unaenda bonanza kwanini usiende nae.???hapo kusema lijitu nitayari unaonyesha unatabia zakibinafsi nakujisikia kujiona ww mbora kuliko wengine... Ndugu yako unamwita lijitu... Usikute jamaa hata hana Habari nahayo mambo na anawaheshim watu wote humo ndani... Kuvaa Box sijui kufua wengine huwa wanachukulia Lawanda kabisa.. Kuna rafiki yangu huwa naenda nyumbani kwake kumona Mamake akija kutoka mkoa namkuta kakaa namamake mzazi mshikaji akiwa na Box pekeyake... Lakini mm siwezi kabisa ..so binadam tunatofautina. Acha kumchukia ndugu yako..
TEHETEHETEHENgoja nicheke kwanza.