Msungu inv
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 260
- 192
Kalionyeshe pakulima huko vikindu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu nimekupata kesho naweza nikaondoka nimekamilisha michakato yangu...anhsantenWaheshimiwa nina mgeni ambae sasa Anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta
Nimewaandikia kwa sababu, Huyu jamaa amenishangaza sana, imagine weekend hii iliyokwisha anashinda na boxer kutwa nzima tena kifua wazi, au kwa sababu amevimba kifua anataka tumwone au?
Mke wangu na house girl wanafua nguo jumamosi asubuhi eti anaenda pale awasaidie kufua, Natoka ndani namuuliza wife mbona mgeni anafua nguo, najibiwa kuwa eti ameomba mwenyewe, hii ni sawa kweli?
Yote tisa, kumi ni Jana, inafikia hatua linamkuta wife jikoni anasonga ugali linaomba limsaidie kusonga ugali, mgeni gani wa namna hii?
Wadau nitumie njia gani kulitimua hili jitu hapo nyumbani? Kabla halijaleta madhara maana mdogo wa mke wangu naona kama yuko nalo karibu sana, pia wife kaniuliza kama mm pia naweza kufanya mazoezi nikawa kama hilo jitu badala ya kitambi, Ingawa alinieleza kwa utani huku tukifurahi na kutaniana ila najiuliza kwa nn aseme sasa wakati hili jitu lipo?
Linakaa hapo sebuleni kwenye video hadi usiku mwingi likiwa na mdogo wa mke wangu bila kujali maadili
Jumapili Nilienda kwenye Bonanza la timu yetu ya veterans narudi nimekuta nyumba nzima hawapo wameenda beach wote pamoja na huyu jamaa
Hivi unaendaje ugenini halaf unaanza kuleta ujuaji wa namna hii?
Wadau msaada wa mawazo unatakiwa haraka
Hsisaidii kama mke keshalizimikia ataliambia lipunguze mazoea wafanye kmya kmya maana mzee keshapata waswas.Wasiwasi Ndio akili.
Mwambie mkeo,Yaani mchane mkeo hali halisi kwa upande wako.
Hahahaaaa!! Litimue hilo jitu,Waheshimiwa nina mgeni ambae sasa Anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta
Nimewaandikia kwa sababu, Huyu jamaa amenishangaza sana, imagine weekend hii iliyokwisha anashinda na boxer kutwa nzima tena kifua wazi, au kwa sababu amevimba kifua anataka tumwone au?
Mke wangu na house girl wanafua nguo jumamosi asubuhi eti anaenda pale awasaidie kufua, Natoka ndani namuuliza wife mbona mgeni anafua nguo, najibiwa kuwa eti ameomba mwenyewe, hii ni sawa kweli?
Yote tisa, kumi ni Jana, inafikia hatua linamkuta wife jikoni anasonga ugali linaomba limsaidie kusonga ugali, mgeni gani wa namna hii?
Wadau nitumie njia gani kulitimua hili jitu hapo nyumbani? Kabla halijaleta madhara maana mdogo wa mke wangu naona kama yuko nalo karibu sana, pia wife kaniuliza kama mm pia naweza kufanya mazoezi nikawa kama hilo jitu badala ya kitambi, Ingawa alinieleza kwa utani huku tukifurahi na kutaniana ila najiuliza kwa nn aseme sasa wakati hili jitu lipo?
Linakaa hapo sebuleni kwenye video hadi usiku mwingi likiwa na mdogo wa mke wangu bila kujali maadili
Jumapili Nilienda kwenye Bonanza la timu yetu ya veterans narudi nimekuta nyumba nzima hawapo wameenda beach wote pamoja na huyu jamaa
Hivi unaendaje ugenini halaf unaanza kuleta ujuaji wa namna hii?
Wadau msaada wa mawazo unatakiwa haraka
halafu wewe kuna sehemu anakuzidi akili unalika bure aisee inauma balaa mbaya zaidi hajakutongoza aisee acha tu .. ni me namsaidia mtoa mada jamaa wa hivyo huwa hawatongozi mkeo atalika kiutani kama vile kutembelea ganda la ndizi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] miss chaga unaongea kwa confidence inaonekana una evidence ya mzee m1 wapo wa kutengeneza mazngra tyar ashawah kutengeneza mazngra akakulamba[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Eti "hawatongozagi hao" [emoji28] [emoji28]. Hii ni evidence tosha miss chaga wetu tayar ishamkuta[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Ndukiii [emoji125] [emoji125] [emoji125]. Manake nkikaa hapa miss chaga ataniua nlivomtobolea siri yke[emoji12] [emoji12]
Duuuh [emoji15] [emoji15] [emoji15] mwambie bhna ata we ulijikuta tu tyar umelika [emoji12] [emoji12]. Mwambie afuate ushauri wko manake unamwambia yalokukuta kwa hali kama hyo [emoji28] [emoji28] [emoji28]halafu wewe kuna sehemu anakuzidi akili unalika bure aisee inauma balaa mbaya zaidi hajakutongoza aisee acha tu .. ni me namsaidia mtoa mada jamaa wa hivyo huwa hawatongozi mkeo atalika kiutani kama vile kutembelea ganda la ndizi
ha hahaha kweli yani awe makiniDuuuh [emoji15] [emoji15] [emoji15] mwambie bhna ata we ulijikuta tu tyar umelika [emoji12] [emoji12]. Mwambie afuate ushauri wko manake unamwambia yalokukuta kwa hali kama hyo [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amesema anafanya na juzi alienda bonanzaniFanya mazoezi kitambi kinabomoa hakijengi afya.