Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

Binamu nimekupata kesho naweza nikaondoka nimekamilisha michakato yangu...anhsanten
 
Wasiwasi Ndio akili.
Mwambie mkeo,Yaani mchane mkeo hali halisi kwa upande wako.
Hsisaidii kama mke keshalizimikia ataliambia lipunguze mazoea wafanye kmya kmya maana mzee keshapata waswas.
 
Wanawake wanapenda watu wa aina hiyo (kusaidiwa shughul ndogondogo za nyumban, outing, utani kidogo mwili wa mazoez n.k). Wewe umejisahau kwa vile umemzoea, jifunze kuwa km hilo lijitu ila ukichelewa litammega mkeo au hata wote na shemejio
 
Plz so plz, evacuate your family before the fire hazard start to consume your house... Kuishi na wageni ni changamoto sana. I hope anafanya hivyo ili asionekane mzigo kwako, bila kujua kuwa anakuboa. Mvumilie tu amalize siku zake hapo then akiondoka usimkaribishe tena... Wivu umekufika hapaa 😀😀😀. Kama nakuona ulivyofura kwa ghadhabu. Macho mekunduu 😱😱
 
Hahahaaaa!! Litimue hilo jitu,
 
halafu wewe kuna sehemu anakuzidi akili unalika bure aisee inauma balaa mbaya zaidi hajakutongoza aisee acha tu .. ni me namsaidia mtoa mada jamaa wa hivyo huwa hawatongozi mkeo atalika kiutani kama vile kutembelea ganda la ndizi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mh we kuwa Mjanja kimaongezi mara kwa mara muulize mh hivi ulisema unaondoka kesho vile!!?! Ukibadili maongezi muulize mkeo ushaandaa chakula mapema pengine mgeni anaondoka leo asije akachelewa usafili!!!!
 
halafu wewe kuna sehemu anakuzidi akili unalika bure aisee inauma balaa mbaya zaidi hajakutongoza aisee acha tu .. ni me namsaidia mtoa mada jamaa wa hivyo huwa hawatongozi mkeo atalika kiutani kama vile kutembelea ganda la ndizi
Duuuh [emoji15] [emoji15] [emoji15] mwambie bhna ata we ulijikuta tu tyar umelika [emoji12] [emoji12]. Mwambie afuate ushauri wko manake unamwambia yalokukuta kwa hali kama hyo [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kama mkeo amekwambia uafanye mazoezi uwe kama hilo jitu na kupunguza kitambi ina maana anapenda miili kama hiyo, hapendi watu wenye kitambi na miili uzembe maana kuna baadhi ya majukumu wanaishia njiani. Chukua hatua mapema, amefikisha ujumbe kiutu uzima.
 
Fanya mazoezi kitambi kinabomoa hakijengi afya.
 
Duuuh [emoji15] [emoji15] [emoji15] mwambie bhna ata we ulijikuta tu tyar umelika [emoji12] [emoji12]. Mwambie afuate ushauri wko manake unamwambia yalokukuta kwa hali kama hyo [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
ha hahaha kweli yani awe makini
 
Mkuu huki jui limevimba,lichunguze na chini kama limevimba pia,hili jitu ndio wale wamefili waliokuwaga zamani sana kabla ya gharika,ni hatari sana linaweza kumpa mtu mkuyenge,shauri yako
 
Acha roho mbaya mkuu. Acha kumchukia jaribu kumzoea uwe karibu nae wewe kwanza kama mwanaume, kutoka nae na mambo mengine. Inaonekana wewe mwanaume mwenzie haupo karibu nae ndo mana anakuwa karibu na watu wengine walie karibu nae.
Kuhusu kusaidia kazi hata mimi nikienda kwa mtu siwezi kujitia ubosi kila kitu nifanyiwe. Ishi na mtu kwa faida hata kama mtu hatazamii wewe kufanya shughuli yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…