Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

Kama braza ake haumuintateini afanyaje. Si bora atafute kampani ya wanawake. Umempuuza ndiyo maana yuko karibu na my wife wako na wanawake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jitu linakukosesha amani
 
Lijitu limeleta balaa nyumbani kwa binamu na dalili za kupiga mashine bure kwisha onekana
 
Mkuu blv me ukilifukuza, kesho yk wife atakuambia nataka niende kwenu kusalimia[emoji12] [emoji12] [emoji12] .
au ka vip acha kupeleka matumizi uone km litatoka kwenda kutafta. Ukiona linahudumia liulize hiv Mzee unaijua segerea?
 
hapana mambo ya aibu unabaki nayo mwenyewe
[emoji28] [emoji28] [emoji28] aya bhna. Naomba na mm nje nkutembelee cku moja maana nna kauzoefu kdgo[emoji12] [emoji12]. Ntakua mdogo wko upande wa mjomba wako wa kule boma ng'ombe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hilo jitu ni la kufukuza tu litalamba asali yako hivi punde
 
Ha ha ha ha msala unao
 
Linufua nguo za mkeo tena underskirt
 
Kwangu mimi huyo ni malaika aliyetumwa kwako ili ujifunze kabla mambo hayajaharibika.Ninashukuru UTAKUWA umejifunza mambo yafuatayo;
1.Ukaribu na familia yako NI MUHIMU kuliko shughuli zako za kwenye mabonanza;
2.Kitambi sio dili
3.Kitoa out familia ni jambo muhimu sana
4.Ndugu zako wanahitaji ukaribu zaidi kuliko huduma za chakula na vitu vingine

Mshukuru kwa ujio wake badala ya kumfukuza

Nawasilisha.
 


Kuwa mwanaume ni kazi, Hivi unashindwa nini kumwambia yote uliyotuambia hapa? Print hii karatasi yake, tafuta maneno yenye ustaha mfikishie ujumbe. Hapa ndipo wazungu wanapotushindia, kuwa muwazi.
 

[emoji115][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji30]
 
Katika vitu tunavyozingatia wanaume Katika kuoa ni Mke atakayependa ndugu zako lakini kwako nao ni kinyume kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…