Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

ivi unaendaje kwa watu unavaa boxer peke yake mwenye nyumba tu havai ivyo who are u, me ningemblast dress properly
 
Nenda naye jino kwa jino.
Anazunguka ndani na boxa wewe zunguka ndani na boxa pikipiki huku umevaa boxa.

Anatembea kifua wazi tembea kitambi wazi huku umekichora six packs na kalamu ya biki au maka peni.

Anasaidia kuosha vyombo wewe unaosha hadi vitakavyotumika kesho yake.

Yote hayo ukifanya na akiendelea kung'ara yeye tu, mwambie "Binamu rudi nyumbani"
 
Binadamu yupo race huyo kwelikweli
 
Kuna makabila binamu wanakulana tu. Tena siku hzi mabinamu hawa si wa kuwaamini. Mpk mama anakutolea mfano kifua cha jamaa. Ina maana amekizimia.
 
Huyo hata ukimfukuza kama wife ameshamuelewa lazima watafutane tu na watimize haja zao
 

Lipe muda kwanza!
 
Umeumizwa sana.kama Accacia na Tz vs mchanga wa dhahabu.
 
Utakua unampenda au unamla shemeji yako wewe, kwa nini unamuonea wivu? Hapa inaonyesha kabisa jamaa ana interest na mdogo wa mke wako ila wewe unataka ku justify kwa kumpa kesi ya kumtaka mkeo
 
Utakua unampenda au unamla shemeji yako wewe, kwa nini unamuonea wivu? Hapa inaonyesha kabisa jamaa ana interest na mdogo wa mke wako ila wewe unataka ku justify kwa kumpa kesi ya kumtaka mkeo
I guess
 
maisha ndivyo yalivyo familia inahitaji socialisation and charming sio kumfanya mke kama mtumwa wewe unatakiwa ubadilike uwe kama hilo jitu kabla hujalifukuza ili ukilifukuza usiache gap. kuvaa boxer wewe ndo unaliendekeza linunulie kaptura buga
 
Kama mke wako kashaanza kushauri ufanane kwa umbo na hilo jitu, aise karibia unaibiwa hapo.

Kumbuka: Linapokuja swala la mapenzi hutakiwi kumwamini hata baba mzazi. Litimue hilo jitu mkuu.
 
Naweza kukuunga mkono ila anachokodea tu huyu jamaa ni kukaa na boxer hadharan,,ila kila kitu anafanya sababu asionekane hawajibiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…