Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

Nilitegemea post kama hii. Ngoja nicheki kama kuna aliyejifanya wife wa jamaa pia.
 
Mwanaume gani wewe unashindwa kuwa na command ndani ya nyumba yako [emoji15] !

Au kwa vile umeliona ni mbavu? Acha woga wa kijinga.
 
Cc Edoc [emoji23] [emoji23]
 
Kama ni binamu yako,hata kwa mkeo wanaitana binamu pia.

Binamu nyama ya hamu.

Na kama wanaitana shemeji...

Siku hizi wanakulaaaga.

Jitu jitu gani...wahenga tuambieni.
 
Umeeleza kwa uzoefu sana,vipi yamewahi kukuta nini Cc miss chagga
 
Hadi hapa ninapo andika, I'm sure hilo jitu litakuwa lishakula Mdogo wa mkeo au kama bado basi tayari lishapewa mate. Mkuu fanya utaratibu wa akili wa kuliondoa kistaarabu
 
Mkuu MFALME HATAMBIWI KWENYE HIMAYA YAKE
 
Silaha zipo, pia mwanaume lazima uwe mkakamavu Mahondaw.
Unajua ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume mwenye familia kuwa muoga [emoji3]
Mwenzenu ndo hana hio confidence japo yupo kwake.. Muache achelewe chelewe tu

Cc Smart911
 
HA HA HA lifukuzeee tu maana hamna namna! atawala wote mke na housegirl...
 
Atakuta manyoya tu watu washanyonyoa
Nasubiri mrejesho hapa jamvini. Lakini wanawake mna mateso kiaina sasa kweli uko busy na lijitu wakati mwenzi wako kimbaumbau si ni kumuharibu kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…