MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Wakatafutane tu lakini sio home kwake!Huyo hata ukimfukuza kama wife ameshamuelewa lazima watafutane tu na watimize haja zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakatafutane tu lakini sio home kwake!Huyo hata ukimfukuza kama wife ameshamuelewa lazima watafutane tu na watimize haja zao
Mmmhh imewahi kukutokea nini wife?ha hahahahaha kwanza hilo jitu lisipomgonga wife wako basi wengine wenye mwonekano wa hilo jitu watamla, fanya mazoezi ya kutafuta pesa kwa bidiii zaidi achana na likifua ila piga mazoezi kishikaji usipate magonjwa....
hilo lijitu liambie liache mazoea na wife hawa tunawaita wazee wa kutengeneza mazingira anaweza kuwagonga wote wa kike humo ndani kiutani utani tu kuwa makini... huwa hawatongozi yani ..
kama unaweza liambie hilo jitu lisepe tu mazoea hutaki jitu kubwa
Teh teh..Najiuliza siku hiyo anamsaidia kufua hakukua na vyupi kweli..Uenda lijitu linafua hadi chupi za wife wake..Unategemea nnTeh Wife mwenyewe kamindi flag za Lijitu halafu halina kitambi pia miraba minne what do you expect??? [emoji126] [emoji125]
Cc Smart911
hapana hubby ni rafiki yangu ilimtokeaMmmhh imewahi kukutokea nini wife?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hapana hubby ni rafiki yangu ilimtokea
Duuuh kumbe madam nkajua hutak jamaa aliwe kumbe tatzo ni kutokufanyia home[emoji28] [emoji28] napata pcha ungekua mke wa jamaa mmmm[emoji15] [emoji15]. Ungeliwa ila kwa njia mbadala[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakatafutane tu lakini sio home kwake!
Jinsia yako please!!!!Waheshimiwa nina mgeni ambae sasa anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta.
Nimewaandikia kwa sababu, huyu jamaa amenishangaza sana, imagine weekend hii iliyokwisha anashinda na boxer kutwa nzima tena kifua wazi, au kwasababu amevimba kifua anataka tumwone au?
Mke wangu na house girl wanafua nguo Jumamosi asubuhi eti anaenda pale awasaidie kufua, natoka ndani namuuliza wife mbona mgeni anafua nguo, najibiwa kuwa eti ameomba mwenyewe, hii ni sawa kweli?
Yote tisa, kumi ni Jana, inafikia hatua linamkuta wife jikoni anasonga ugali linaomba limsaidie kusonga ugali, mgeni gani wa namna hii?
Wadau nitumie njia gani kulitimua hili jitu hapo nyumbani? Kabla halijaleta madhara maana mdogo wa mke wangu naona kama yuko nalo karibu sana, pia wife kaniuliza kama mimi pia naweza kufanya mazoezi nikawa kama hilo jitu badala ya kitambi, ingawa alinieleza kwa utani huku tukifurahi na kutaniana ila najiuliza kwanini aseme sasa wakati hili jitu lipo?
Linakaa hapo sebuleni kwenye video hadi usiku mwingi likiwa na mdogo wa mke wangu bila kujali maadili.
Jumapili nilienda kwenye Bonanza la timu yetu ya veterans narudi nimekuta nyumba nzima hawapo wameenda beach wote pamoja na huyu jamaa.
Hivi unaendaje ugenini halafu unaanza kuleta ujuaji wa namna hii?
Wadau msaada wa mawazo unatakiwa haraka.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] lilikuwa swali la kichokozi...Hahahaah niliexpect this question..
Unaeza kuta kimbaumbau ila ana msuliii tofauti na manyamanyama
Though Inategemea na kaziii a.k.a muziikiii wa muhusika regardless kitambi ama mbau mbau
Cc Smart911
Ndugu yangu acha kulialia, wewe cha kufanya kama jamaa anajikalia kama hajielewi wewe MPE MAKAVU LAIVU. Wewe kama lijitu haliwezi kutofatisha vazi la kulalia na na vazi la kushindia nyumbani na unendelea kumkali kimya wewe kwanza ni tatizo na pili jamaa inakuaje anaenda kufua na kuosha vyombo na wewe hujachukua hata hatua ya kumwambia mkeo pindi jamaa anajipendekeza kutaka kufanya hizo kazi amkatalie? Hata huyo mama yoyo inaonekana kuna kitu kakosa kutoka kwako ikiwemi SIX PAC na ndio sababu anaanza swaga zake ooo... punguza kitambi uwe kama LIJITU na bado atakuambia refusha naniliu yako iwe kama ya ya LIJITU na hapo sasa ndio utaanza kujiuliza amejuaje ya LIJITU ana mzigo wa maana? Kama ilivyosemwa hapo juu wewe umeshafeli tayari kwa hiyo kama hujui JAMAA AMESHAKULA MZIGO NA ANACHOKIFANYA SASA HIVI NI KUDUMISHA UPENDO. Saasawa kijanaWaheshimiwa nina mgeni ambae sasa anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta.
Nimewaandikia kwa sababu, huyu jamaa amenishangaza sana, imagine weekend hii iliyokwisha anashinda na boxer kutwa nzima tena kifua wazi, au kwasababu amevimba kifua anataka tumwone au?
Mke wangu na house girl wanafua nguo Jumamosi asubuhi eti anaenda pale awasaidie kufua, natoka ndani namuuliza wife mbona mgeni anafua nguo, najibiwa kuwa eti ameomba mwenyewe, hii ni sawa kweli?
Yote tisa, kumi ni Jana, inafikia hatua linamkuta wife jikoni anasonga ugali linaomba limsaidie kusonga ugali, mgeni gani wa namna hii?
Wadau nitumie njia gani kulitimua hili jitu hapo nyumbani? Kabla halijaleta madhara maana mdogo wa mke wangu naona kama yuko nalo karibu sana, pia wife kaniuliza kama mimi pia naweza kufanya mazoezi nikawa kama hilo jitu badala ya kitambi, ingawa alinieleza kwa utani huku tukifurahi na kutaniana ila najiuliza kwanini aseme sasa wakati hili jitu lipo?
Linakaa hapo sebuleni kwenye video hadi usiku mwingi likiwa na mdogo wa mke wangu bila kujali maadili.
Jumapili nilienda kwenye Bonanza la timu yetu ya veterans narudi nimekuta nyumba nzima hawapo wameenda beach wote pamoja na huyu jamaa.
Hivi unaendaje ugenini halafu unaanza kuleta ujuaji wa namna hii?
Wadau msaada wa mawazo unatakiwa haraka.
Mwaga mauzoefu hayo ili tukipata ndugu wa aina hiyo tufahamu namna ya kudili naoacha basi