Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

Kikulacho ki nguoni mwako, broo stuka unaliwa mali zako kiaina, litimue jitu hilo bora undugu ufe litakuharibia.
 
Mmmhh imewahi kukutokea nini wife?
 
Teh Wife mwenyewe kamindi flag za Lijitu halafu halina kitambi pia miraba minne what do you expect??? [emoji126] [emoji125]

Cc Smart911
Teh teh..Najiuliza siku hiyo anamsaidia kufua hakukua na vyupi kweli..Uenda lijitu linafua hadi chupi za wife wake..Unategemea nn
 
Ukicheka na nyani, utavuna mabua..... Unaogopa nini kulitimua!? Mpaka nakuona bwege.... Unafikiri akili za mwanamke zinatabirika! We chekea tu.....
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakatafutane tu lakini sio home kwake!
Duuuh kumbe madam nkajua hutak jamaa aliwe kumbe tatzo ni kutokufanyia home[emoji28] [emoji28] napata pcha ungekua mke wa jamaa mmmm[emoji15] [emoji15]. Ungeliwa ila kwa njia mbadala[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hlo jitu cjui linafananaje ,kama nahc kama under taker
 
Jinsia yako please!!!!
Kama wewe ni mwanaume halisi huyo hakupaswa kuwa hapo pako zaidi ya siku moja na pia iweje aende Beach na familia yako na haukemei mkuu?
Sifa ya mwanaume sio kugegeda vizuri tu, ni pamoja na ulinzi kwa familia yako!!!
Mchane mbele ya familia yako na anune tuu aende zake.
Pia mjifunze kujenga nyumba za kisasa zenye chumba 3 tuu mtakosa wageni wa kipuuzi. Tatizo mnaishi guest yenye vyumba vingiiii alafu mnalalamika wageni wa kijinga.
Pole sana ila onesha kuwa wewe ni baba
 
Hahahaah niliexpect this question..

Unaeza kuta kimbaumbau ila ana msuliii tofauti na manyamanyama

Though Inategemea na kaziii a.k.a muziikiii wa muhusika regardless kitambi ama mbau mbau

Cc Smart911
[emoji1] [emoji1] [emoji1] lilikuwa swali la kichokozi...
 
Ndugu yangu acha kulialia, wewe cha kufanya kama jamaa anajikalia kama hajielewi wewe MPE MAKAVU LAIVU. Wewe kama lijitu haliwezi kutofatisha vazi la kulalia na na vazi la kushindia nyumbani na unendelea kumkali kimya wewe kwanza ni tatizo na pili jamaa inakuaje anaenda kufua na kuosha vyombo na wewe hujachukua hata hatua ya kumwambia mkeo pindi jamaa anajipendekeza kutaka kufanya hizo kazi amkatalie? Hata huyo mama yoyo inaonekana kuna kitu kakosa kutoka kwako ikiwemi SIX PAC na ndio sababu anaanza swaga zake ooo... punguza kitambi uwe kama LIJITU na bado atakuambia refusha naniliu yako iwe kama ya ya LIJITU na hapo sasa ndio utaanza kujiuliza amejuaje ya LIJITU ana mzigo wa maana? Kama ilivyosemwa hapo juu wewe umeshafeli tayari kwa hiyo kama hujui JAMAA AMESHAKULA MZIGO NA ANACHOKIFANYA SASA HIVI NI KUDUMISHA UPENDO. Saasawa kijana
 
Rudi nyumbani folenisha familia nzima sebuleni toa tangazo kuwa hutaki kuona sura ya mtu huyu then usiruhusu maswali sometimes maamuzi magumu ni muhimu
 
Usipokuwa makini atawabandua mkeo na beki 3................................
 
Lipige picha likiwa na boxer utipiamo jukwaani tulione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…