Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

Mkeo kapakizwa kwenye gari na msela akamegwa or ametongozwa na mshua mwenye gari,something is behind that request haiji bure hio kuna jambo,kwann asiseme mjenge nyumba
 
Story za facebook usilete huku
 
Mnakopeshaje?
Ili kuliko kuandika hayo makurasa yote nimkabidhi funguo
BIN KHALIFA MOTORS ni kampuni inayoagiza Magari kutoka Japan na Uingereza.




Tunakopesha Magari kwa bei nafuu, Unalipa asilimia 60% alafu asilimia 40% unalipa kwa miezi minne dhamana ni compprehensive insurance bima kubwa na mteja atalipia cartrack king'amuzi pindi atakapomaliza deni kitatolewa.



Ofisi zetu zipo magomeni mapipa kama unatokea na k,koo utaona ghorofa lenye yadi lipo mkono wakushoto pia tuna patikana Moroco.



Pia tunatoa ushauri wa kitaalam na kibiashara kuhusu magari bila malipo yoyote



Kwa mawasiliano



+255718228825
 
Duuuh mbaya sana hiyo. Unampiga mkeo wa moyoni? Au we mkurya?
 

Sawa Mkuu Shukrani. Ngoja ningalie
 
Wewemara zote unatuambia mwanamke ni wa kumpotezea nawewe tunakushauri Usimzingatie. hata ukinunua hilo gari kuna siku atakwambia mbona hujanunua private jet hadi sasa mwaka 17 tangu umuoe.

Atakupa mfano mbona akina zuchu wanazo nk. USIMZINGATIEE
 
Huyo unamzabua kibao alafu mahusiano yameisha hapo. Bye bye mie siwezi kuishi na mwanamke anaye jibu kama anaongea na mwanamke mwenzie. She has to show respect after all i pay all the billz in the house.

Mimi bwana personally nipo tayari kumsamehe mke wangu akigegedwa nje huko (ofcoz mie nina kibamia so obviously some time wife anatamani mbooo kubwa zaidi 😜)
Wat i wont forgive ni mke wangu kuongea na mie kama anaongea na mwanamke mwenzie.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 si unatuandikiaga migazeti?? Haya mwandikie mkeo.....

Nmecheka sana, kwahiyo sahivi hapo una karatasi na kalamu? Au unatype
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…