Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Nimecheka walah nmecheka sana hii thread
Tuoneni tuu huko barabarani tunapita au kuandika huku mitandaoni. Kuna mambo ukisikia yanachekesha Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka walah nmecheka sana hii thread
Una uhakika haupo ndotoni??Pole sana. Ah wee sii ulikuwa hutaki kibamia. Wenzio wakasema kibamia hakina shida na nimempa uhuru wakuonja de liboloz zingine mara 4 kwa mwaka.
Eeeh mie mzee ndio utoe heshima sio unadhani upo na kijana mwenzio hapa....Hiiiiii kumbe kazeee basi unajifanyaga kama kajanki janki hivi......oyaaa shkamoo
Pole sana mfikirie mkeo asee, kama muisraeli anatembea miaka 40 😹Tuoneni tuu huko barabarani tunapita au kuandika huku mitandaoni. Kuna mambo ukisikia yanachekesha Sana.
Nimecheka walah nmecheka sana hii thread
Lakini hili la kuambiwa kununua gari sio la ku Cross mipaka. Ni kuhamasishwa tuWewe mwanaume anaejielewa hawezi mpiga tuu kofi mke wake vuruvururu...ni mpaka mke awe amecriss mipaka sana.
Ngoja nijifinye kwanza🤣🤣🤣🤣Una uhakika haupo ndotoni??
Pole sana mfikirie mkeo asee, kama muisraeli anatembea miaka 40 😹
Jitahidi buana ununue gari🤣🤣🤣 aisee wanaume wa tz inabidi tupelekwe afghanistan tukajifunze kwa talibans jinsi ya kuhandle mwanamke.
Kwani mie kidume sijui humuhimu wa gari mpaka aniambie yeye?Lakini hili la kuambiwa kununua gari sio la ku Cross mipaka. Ni kuhamasishwa tu
Wazee wa kataa ndoa bado tu hawafika mtaa huu?
Mie gari la nini atapanda boxer yangu.Jitahidi buana ununue gari
Anakukumbusha tu!Kwani mie kidume sijui humuhimu wa gari mpaka aniambie yeye?
Alafu yeye ananipangiaje matumizi ya pesa zangu? Huo ninukosefu wa adabu
Hapana, ukishakuwa na familia lazima uwe na Usafiri utakaobeba watu wengi kwa wakati mmoja.Mie gari la nini atapanda boxer yangu.
Shida sii afike anapoenda au anataka kutembelea tako awaringishie mashoati wake
Mtibeli umefika ukurasa wa ngapi?Hao wanaitwa wazee wa kuhonga.
Pesa anatoa nani?? Yan pesa nitoe na kupika nikupikie ety kisa unanipa kibumbu how come??Ukiwa mwenyewe unapika ila ukishapata tu demu au ukioa unageuka kilema ghafla kila kitu ufanyiwe! Why??!!
Anakukumbusha tu!