Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

Unatakiwa kujitahidi kwa njia yoyote ile ufanikishe.
Mnataka waune zenu tuanze kuuza mikunduz sasa🤣🤣🤣🤣.
Wewe kama unataka magarinolewa na wanaune wenye huo uwezo pia hakimisha nawe mzuri kweli maana wenye hela wanaoa wanawake wazuri wazuri.

Mie mzabzab uwezo wangu pikipiki aridhike na hilo asilete tamaa za kingese. Dont ask blood from stone
 
Nipe pointi bhana!
Nipo KURASA ya Kwanza hapa
Huwezi kukosa sababu, ila usisahau neno HOBI, mwambie una HOBI na ndege au meli, sio magari, kwahiyo unasubiri kibaba kijae ununue chopa au boti kama ya Barlesa.

Mengine rudia rudia tu kwenye kurasa nyingine.
Na andika muandiko mkubwa kisha spacing kubwa na paragraph kila sentensi moja.
 
Mwambie aende kwao kwa muda,ukinunua gari utamtaarifu arudi maana yeye kwake gari ni moja wapo ya msingi wa ndoa.
 
Mnataka waune zenu tuanze kuuza mikunduz sasa🤣🤣🤣🤣.
Wewe kama unataka magarinolewa na wanaune wenye huo uwezo pia hakimisha nawe mzuri kweli maana wenye hela wanaoa wanawake wazuri wazuri.

Mie mzabzab uwezo wangu pikipiki aridhike na hilo asilete tamaa za kingese. Dont ask blood from stone
Uzuri upi unamaanisha tena?
 
Back
Top Bottom