Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

Share nasi ukimaliza kuandika.. Labda maandiko haya yatakufungulia njia. Kwa sababu utaandika ukitafakari na kupanga mengi na kujua nini ubadilike na wapo uweke bidii.

Ila nalala ndefu kumbe.. Tafuta njia upatoe pesa kidogo kidogo ujaza.....

All the best
 
Mwambie aandike 25 pages why she is behind a man with no car

Wanasema behind a successful man there is a woman

Yeye yuko wapi
 

🤓🤓
Yaani nimezodolewa Mpaka basi
 
Mruhusu yeye anunue halafu akuandikie kurasa ishirini ya jinsi alivyo weza kununua gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…