Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Mwambie Yeye ndio tatizo la ww kutonunua gari kwa sababu umeoa mwanamke asiye na upepo wa pesa.
Unataka mwaka uniishie pabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie Yeye ndio tatizo la ww kutonunua gari kwa sababu umeoa mwanamke asiye na upepo wa pesa.
Ohoo! kumbe ndo ndoa zilivyo hivyo! ngoja niongeze mwendo!.
Wewe mzabzab angekuwa mkeo ungemzaba kibao?Mzabue kibao alafu baadae mchape na mti mtamu
Ndio maana nikasema inabidi uende afghanistan ukapate funzo
kakavulishe pete uone katakavyokuwa kapole!KURASA ishirini na nimepewa siku tano tuu😅
Mbona yeye hajajinunulia gari?
😃😃kakavulishe pete uone katakavyokuwa kapole!
Mke wangu niliyenae hawezi thubutu kuongea ujinga mbele yangu. Alishakulaga makofi wakati wa u humba so alijua misimamo yangu.Wewe mzabzab angekuwa mkeo ungemzaba kibao?
Brother mke wako mzuri sana, fanyia kazi hiyo changamoto, maisha ya sasa usafiri ni muhimu sana. Mke wako najua uwezo wako. Pambana
Sasa kama hauna hela mkuu ndio ujiue,mwambie tu ukweli hauna hela,ama kama unazo nunua ili afurahie.
Huyu ndio mkeo mkuu?View attachment 3174557
Anastahili,njoo tukukopeshe
Ebu tuanzie hapa! Mwanamke mwenye upepo wa pesa yukojeMwambie Yeye ndio tatizo la ww kutonunua gari kwa sababu umeoa mwanamke asiye na upepo wa pesa.
Ushauri huu 🤣utamponza ndugu yetuWewe na wewe nini kimekushinda?? Mwambie kesho utamkabidhi kurasa zake 20.Harafu nenda bank ukakope pesa nunua gari siku unamkabidhi more bank statement ya mkopo na umwambie kuanzia leo ni mwendo wa utokwenda saloon na ugali maharage mpaka mkopo uishe miaka sita.
Atakuwa kapigwa sana na jua.
kisimatiEbu tuanzie hapa! Mwanamke mwenye upepo wa pesa yukoje