Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Habari za sasa za wasyria umekuwa ukizifuatilia.Syria hamna wanaume huko wanaume wapo afghanistan bwana.
Wee kuna fala gani dunia hii kapigana na marekani na akashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za sasa za wasyria umekuwa ukizifuatilia.Syria hamna wanaume huko wanaume wapo afghanistan bwana.
Wee kuna fala gani dunia hii kapigana na marekani na akashinda
Namshangaa huyu anaongea ujinga eti uangalie moyo 🤣🤣🤣🤣😂😂
Moyo kila mtu anao bhana
Mpaka watakapopigana na marekani na marekani kushindwa ndio nitaanza kuwaaminia. Kwa sasa dunia hii wanaume wanapatikana afghanistan tuu. Sie wengine wote ni sampuli ya wanaumeHabari za sasa za wasyria umekuwa ukizifuatilia.
Namshangaa huyu anaongea ujinga eti uangalie moyo 🤣🤣🤣🤣
Wanaume wenye hela zetu tunaanglia tako na sura plus matiti
Miaka 9 yote tangu uoe huna gari? Na si bure upo mjini
Ana haki ya kuhitaji maelezo
Mmarekani mchumba tu mbona huwaoni wahuni wa Israel,waturuki,wahuni wote wakigaidi kwa umoja wao,achilia mbali snitch mwaamerika kwa huyo msiria miaka nenda rudi leo wamejikomboa kwenye makucha ya wahuni wengi japo bado nimwanzo mpya wenye mambo mengi.Mpaka watakapopigana na marekani na marekani kushindwa ndio nitaanza kuwaaminia. Kwa sasa dunia hii wanaume wanapatikana afghanistan tuu. Sie wengine wote ni sampuli ya wanaume
Wacha tuoneMmarekani mchimba tu mbona huwaoni wahuni wa Israel,waturuki,wahuni wote wakigaidi kwa umoja wao,achilia mbali snitch mwaamerika kwa huyo msiria miaka nenda rudi leo wamejikomboa kwenye makucha ya wahuni wengi japo bado nimwanzo mpya wenye mambo mengi.
Amechelewa sana miaka yote hiyo kama ulikua na dalili za kununua angeona mapema...sasa ashachakazwa na hohe haheAnaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika.
Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora.
Assalam alyekum kwa Waislam,
Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam.
Wapagani, salama!!
Nimeoa Miaka tisa iliyopita. Nimejaliwa watoto wawili sasa.
Juzi familia yangu ilipata mualiko kwenda kwenye sherehe ya harusi ambayo ukumbi ulikuwa kwenye Moja ya visiwa vilivyoko bahari ya Hindi karibu na Jiji la Dar.
Basi huko mambo yalienda vizuri kwa upande wangu lakini nilishangaa kuona mke wangu Akiwa Hana furaha.
Sikumzingatia Sana ili asijeiharibu furaha yangu nikiwa nimepanga kumuuliza tukiwa tumerudi nyumbani.
Kufika nyumba, mwanamke amevuta mdomo kama kang'atwa na Nyigu. Kulikoni Mke wangu. Ndipo akaanza kushusha risala ndefu yenye shutuma, lawama na kejeli.
Nilinangwa!
Nilikaangwa!
Oooh! Miaka yote tisa tunapanda Daladala Mpaka tumekariri vituo kama Makonda wa Daladala.
Miaka tisa yote nimevumilia.
Watoto wadogo kina Chief Godlove wamezuka huko wanakupiga bao kama mjingamjinga.
Nikasema kimoyomoyo. toba! Nimekuwa mjinga tena.
Hivi gari la Milioni Saba tuu hata kama ni used umekosa?
Hata kama ni mkwechemkweche gari ni gari.
Alafu unajiita Taikon, taikon gani.
Nitakupeleka kwa Kina Mwamposa wakupe Upako wa Gari.
Nikasema mmmh! Yamefikia huko.
Akaendelea;
Mimi kukupenda usichukulie kama udhaifu wa KUFIKIRI sipendi maisha mazuri. Nataka maisha mazuri Mimi. Nimechoka Baby T kukimbizana na Daladala.
Mambo ya kunukishana mijasho na kubambiwa sitaki.
"Eeeh! Aaa mke wangu Maneno gani tena hayo" nikasema.
Wewe unafikiri mbanano ule wa Daladala nitaachwa kubambiwa na kunukishwa mijasho?
Nikasema, aaaah!
Akaendelea;
Wewe si bingwa wa kuandika mamakala mrefu huko Mitandaoni ambayo hayakuingizii chochote. Alafu unanikeraga Sana.
Sasa niandikie kurasa ishirini za sababu zilizokufanya ushindwe Kununua gari tangu unioe huu mwaka wa Tisa.
Ziwe sababu zilizoshiba.
Akaenda bafuni akiniacha nimetekewa. Alaaah!
Sasa Mimi nitaandika nini jamani!
Yaani hapa kichwa kimefura sijui niandike nini.
Pointi haziji.
Naombeni ushauri. Wenye matusi Leo sitayajibu. Siwezi jibu matusi wakati ndoa yangu IPO taabani .
Leo sipumziki.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
😂😂😂😂 dah kwahiyo mnafata IST yenu?Evelyn Salt umesikia hiyo
Na ujibu kwa vitendo, wanaume tunafanya vitendo sio maneno....Kweli lazima nijibu haya mashtaka
Wewe unafikiri mbanano ule wa Daladala nitaachwa kubambiwa na kunukishwa mijasho?
😂😂😂😂 dah kwahiyo mnafata IST yenu?
Na ujibu kwa vitendo, wanaume tunafanya vitendo sio maneno....
NUNUA GARI LA FAMILIA !!!
kabla ya kukushauri hebu tueleze kwanza baba yake analo??? au amewahi kumiliki??
Anza hivi:Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika.
Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora.
Assalam alyekum kwa Waislam,
Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam.
Wapagani, salama!!
Nimeoa Miaka tisa iliyopita. Nimejaliwa watoto wawili sasa.
Juzi familia yangu ilipata mualiko kwenda kwenye sherehe ya harusi ambayo ukumbi ulikuwa kwenye Moja ya visiwa vilivyoko bahari ya Hindi karibu na Jiji la Dar.
Basi huko mambo yalienda vizuri kwa upande wangu lakini nilishangaa kuona mke wangu Akiwa Hana furaha.
Sikumzingatia Sana ili asijeiharibu furaha yangu nikiwa nimepanga kumuuliza tukiwa tumerudi nyumbani.
Kufika nyumba, mwanamke amevuta mdomo kama kang'atwa na Nyigu. Kulikoni Mke wangu. Ndipo akaanza kushusha risala ndefu yenye shutuma, lawama na kejeli.
Nilinangwa!
Nilikaangwa!
Oooh! Miaka yote tisa tunapanda Daladala Mpaka tumekariri vituo kama Makonda wa Daladala.
Miaka tisa yote nimevumilia.
Watoto wadogo kina Chief Godlove wamezuka huko wanakupiga bao kama mjingamjinga.
Nikasema kimoyomoyo. toba! Nimekuwa mjinga tena.
Hivi gari la Milioni Saba tuu hata kama ni used umekosa?
Hata kama ni mkwechemkweche gari ni gari.
Alafu unajiita Taikon, taikon gani.
Nitakupeleka kwa Kina Mwamposa wakupe Upako wa Gari.
Nikasema mmmh! Yamefikia huko.
Akaendelea;
Mimi kukupenda usichukulie kama udhaifu wa KUFIKIRI sipendi maisha mazuri. Nataka maisha mazuri Mimi. Nimechoka Baby T kukimbizana na Daladala.
Mambo ya kunukishana mijasho na kubambiwa sitaki.
"Eeeh! Aaa mke wangu Maneno gani tena hayo" nikasema.
Wewe unafikiri mbanano ule wa Daladala nitaachwa kubambiwa na kunukishwa mijasho?
Nikasema, aaaah!
Akaendelea;
Wewe si bingwa wa kuandika mamakala mrefu huko Mitandaoni ambayo hayakuingizii chochote. Alafu unanikeraga Sana.
Sasa niandikie kurasa ishirini za sababu zilizokufanya ushindwe Kununua gari tangu unioe huu mwaka wa Tisa.
Ziwe sababu zilizoshiba.
Akaenda bafuni akiniacha nimetekewa. Alaaah!
Sasa Mimi nitaandika nini jamani!
Yaani hapa kichwa kimefura sijui niandike nini.
Pointi haziji.
Naombeni ushauri. Wenye matusi Leo sitayajibu. Siwezi jibu matusi wakati ndoa yangu IPO taabani .
Leo sipumziki.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Amechelewa sana miaka yote hiyo kama ulikua na dalili za kununua angeona mapema...sasa ashachakazwa na hohe hahe
Anza hivi:
1. Utangulizi
Mke wangu mpendwa, ningependa kuanza kwa kuelezea kuwa safari ya ndoa yetu ya miaka tisa imekuwa ya kipekee, yenye changamoto na mafanikio. Tumekuwa tukijifunza kutoka kwa kila mmoja, kushirikiana, na kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha kama timu moja. Katika kipindi hiki, tumeweza kujenga familia yenye upendo na mshikamano, tukijitahidi kila siku kuhakikisha tunatimiza mahitaji yetu muhimu.
Nakubali kwamba kumekuwa na matarajio ya kuwa na gari katika familia yetu. Gari limekuwa moja ya alama muhimu kwa maendeleo ya familia nyingi, na pia linaongeza urahisi katika maisha ya kila siku. Hata hivyo, safari yetu ya maisha imekuwa ikihitaji maamuzi magumu na kuweka vipaumbele kulingana na hali halisi ya kiuchumi, kimazingira, na kijamii.
Kukosa kununua gari kwa miaka tisa haimaanishi kwamba sijali kuhusu mahitaji yetu kama familia. Badala yake, ni sehemu ya juhudi zetu za kuweka msingi imara wa kifamilia, ambapo mahitaji mengine muhimu zaidi yalikuwa ya kipaumbele. Katika maandishi haya, nitajaribu kuelezea kwa undani sababu mbalimbali zilizonifanya nisifanikishe ununuzi wa gari hadi sasa, huku nikijitahidi kushirikiana nawe katika kujenga mpango mzuri wa baadaye.
Nina matumaini kuwa baada ya kusoma maandishi haya, utaelewa kwa undani mtazamo wangu na changamoto zilizopo, na tutashirikiana kama tulivyofanya siku zote ili kufanikisha malengo yetu ya kifamilia, ikiwemo ununuzi wa gari.
Naendelea.....