Mke wangu kanifanya nianze kupiga punyeto na sasa siwezi tena kuacha

Hiyo ndio roho halisi ya mwanamke bila make ups, yani balaa zito. Nawaonea huruma sana watu wanaooa wake wakiwa wako njema kipesa maana wengi hasa wanapendewaga hela zile.

Yani zile butters unazotoa kwa gharama zako ndio zina mdrive crazy mwanamke na bora hela ikate before ndoa ila hela ikatikie tayari mshaoana inakuwa heka heka kweli yani. Minuno na kuanza kupangiana ratiba za kumbato, eventually masimango yani dah. You will indeed feel like shit.
 

[emoji20] so sad
 
Unajipa Utam mwenyewe
 
Nenda kaombe ushauri kwa kiongozi wa dini ya imani yako na kwa daktari wa psychiatrist.

Inahitajika mazungumzo yenu na watu wa imani na daktari huyo.

Sali Mche Mungu,

Soma Neno la Mungu.

No situation is permanent.
 
Mwambie aende kwao tafuta house girl

Akusaidie kazi za ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…