Wasimamizi wa ndoa je..?Miaka 30 Mshenga kuwepo ni bahati nasibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasimamizi wa ndoa je..?Miaka 30 Mshenga kuwepo ni bahati nasibu
😂😂😂😂Nimecheka kwa sauti.baada ya miaka 30 ya ndoa.. sasa hapo kimebaki Nini?Wanaume kama nyie mtakufa maskini.
After 30yrs of living together ndio unajifanya kumfatilia?
Au umepata kigoli unamtafutia Sababu?
Au ni Stori ya kutunga hii.
Wewe ni Mzee ndugu yangu kua na heshima.
Ni wazo zuri , lakini nilitaka ku gather inf zilizo kamilika kwanza ikiwa ni pamoja na yenu, kuona kama kuna kitu kilikuwa kinaendelea,Wasimamizi wa ndoa je..?
😂😂😂😂😂Unaweza ukatoa ushauri hapa, unashangaa ghafla bin vuu mama yako kaachwa
Usicheke , na wewe utafika huko,😂😂😂😂Nimecheka kwa sauti.baada ya miaka 30 ya ndoa.. sasa hapo kimebaki Nini?
NimekusomaUmri wa kuanzia miaka 50 ni umri ambao you need to stay away na mambo yote yatakayoleta maumivu ya kihisia.
Hii itakusadia kuwa na well mental wellbeing.
NB hizo message zinaonesha huyo mwanume anafanya maisha muda huu hataki kupoteza muda.
Ila mke anaonekana she is still need a company and attention that all.
Mawazo mazuri ndugu yanguMkanye mwambie anatafuta nini kwa umri huo zaidi ya aibu kwa watoto.Asiposikia sitisha tendo nae mbaki kulea watoto tu mwache akausake mwenyewe ukimwi nje
Pole Sana baba...Basi nikuombe kitu kimojaa kwanza tuliza akili ktk hili na usikurupuke kufanya maamuzi..kwa umri mlio nao kuachana sio busara kbsaa Mimi ninachofahamu ni kwamba,mtahitajiana zaidi na zaidi ktk umri wenu...mueleze mkeo uliyaona na msamehe maisha yaendeleee🙏nakutakia kila lililo jema ktk kulimaliza jambo hili..Usicheke , na wewe utafika huko,
Kwangu mimi maisha yetu yalikuwa nazuri tu, kiasi hio miaka naona ni kama tumekutana jana tu,
Na wewe utafika huko,
Unajua kwa miaka hiyo kuna mambo mengi sana ya kushare kuliko umri mdogo.
Ndio maana DA DON kasema hasara inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko faida.
Unajua mkiachana mkiwa na umri mdogo, wakati mwingine hamna kitu mmechuma pamoja, hamna watoto , ndugu hawawafahamu wengi, inakuwa haina shida,
Lakini kwa umri wetu huu, utakuwa na kazi ya kusimulia watu nini kimetokea mpaka ukome,
Pamoja na aibu juu,
Hayo ni mambo ya kuangalia sana
Hili ndilo li Nyamaiso? Wacha ligongewe! Na uzee wote huo bado linapekenyua simu ya mke?
Hili nalo la kulitazama, wewe umelala nae miaka 30 unamjua vizuri, na kwa namna unamuona je hili linawezekana? Kwa namna umetueleza kule juu ni kwamba penzi lao limefifia.DA DON,
Inaeezekana hasara ikawa ni kubwa kuliko uhai wangu? Maana inabidi kuangalia upande mwingine pia,
Kuna magonjwa na kuuana, maana ni dk sifuri hawa watu wakiendelea na mchezo wao wanaweza kusuka njama wakanimaliza
Sasa umebaki muda wa kubebishana na kula matunda ya ustafu,kunakuwa hakuna majukumu watoto wapo makwao,pilika pilika zinapungua, mama ampikie baba vyakula vizuri vya kambakamba protini pamoja na karanga ,mbogamboga.😂😂😂😂Nimecheka kwa sauti.baada ya miaka 30 ya ndoa.. sasa hapo kimebaki Nini?
Word..Usicheke , na wewe utafika huko,
Kwangu mimi maisha yetu yalikuwa nazuri tu, kiasi hio miaka naona ni kama tumekutana jana tu,
Na wewe utafika huko,
Unajua kwa miaka hiyo kuna mambo mengi sana ya kushare kuliko umri mdogo.
Ndio maana DA DON kasema hasara inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko faida.
Unajua mkiachana mkiwa na umri mdogo, wakati mwingine hamna kitu mmechuma pamoja, hamna watoto , ndugu hawawafahamu wengi, inakuwa haina shida,
Lakini kwa umri wetu huu, utakuwa na kazi ya kusimulia watu nini kimetokea mpaka ukome,
Pamoja na aibu juu,
Hayo ni mambo ya kuangalia sana
Kuto.. ni kuto .. tu hata kama mtu analoweka na kutoa, sio hadi iwe sana.Hamna kitu hapo mkuu tuliza moyo,hata kama anatobwa basi hatobwii saaaaana.
EwaaaaaaahSasa umebaki muda wa kubebishana na kula matunda ya ustafu,kunakuwa hakuna majukumu watoto wapo makwao,pilika pilika zinapungua, mama ampikie baba vyakula vizuri vya kambakamba protini pamoja na karanga ,mbogamboga.
Ngono ya uzeeni ni tamu hakuna streez za utafutaji kwa sana mnakuwa mmetafuta tayari.
Muda kujaliana kuuguzana,kusindikiza dakika za jiooooni kabisa.