Mke wangu kanipa wakati mgumu

Namuona baba yangu na mama yangu wapoo wawili tu wenyeweee...sote tumesambaratikaa full upendo...
 
....inaendeleeeee
 
Watootoowanguueee mm bababayenuuu sinanguvuu tenaaa yà kuua simba...eeehhh..
 
Namuona baba yangu na mama yangu wapoo wawili tu wenyeweee...sote tumesambaratikaa full upendo...
Ndio urafiki wa kweli huo ,mnakula maisha, mnapeana umbeya . Kilichotokea hapa inajua nini? Ni ile mmeishi miaka mingi kana kwamba mambo yapo sawa,kumbe hujui kinachoendeleaga, kwamba upo kwenye ndoa na mkeo miaka mitano,lakini kuna mtu yupo na mkeo miaka mitatu humohumo wewe hujui.
Swali la kujiuliza je baba hakuwahi kuwa na makando kando hii miaka yao ya ndoa? Kama alikuwa anachepukaga ,amsamehe tu mama maisha yaendelee,watakuwa na wajukuu sasa ni muda wa kufurahi nao.
 
Namuona baba yangu na mama yangu wapoo wawili tu wenyeweee...sote tumesambaratikaa full upendo... Amsamehe maisha yaendeleee basi...
 
DA DON,
Inaeezekana hasara ikawa ni kubwa kuliko uhai wangu? Maana inabidi kuangalia upande mwingine pia,
Kuna magonjwa na kuuana, maana ni dk sifuri hawa watu wakiendelea na mchezo wao wanaweza kusuka njama wakanimaliza
Anhaaa…, then thread lightly
 
TUAMBIE UKWELI WEWE NI MTU MZIMA AU LISHANGAZI LAKO UMELIFUMANIA MESEJI ZAKO
 
Aiseee, ahsante,
Lakini kuishi na mtu ambaye unamwona kila siku hapo nyumbani na unajua alikusaliti ni ngumuuu,

Unajua mtoto wangu, sisi watu wazima tunaangalia vitu vingi sana kwa mkeo uliyempenda miaka yote hiyo

1- kwanza akicheka unajua hiki ni kicheko cha ukweli

2- akina nuna , unajua kbs kuna issue haipo sawa, lakini leo akinuna unajua labda kuna kitu yeye na hawara yake

3- akitembea ukaona umbo lake ambalo wewe ulilipenda, lile umbo tena unalitazama kivingine, na kuna mtu mnashare naye

3-Akiumwa, uangalizi wake kwake unapungua , sio kivile kama ulivyokuwa unamwangaikia hata kwa kukopa pesa kwa watu ambao hujawahi.-4

Huwezi tena kuwa unamwazia mwenzangu leo kala nini, nimletee kitu fulani,

5- hata akipendeza unaona kabla sio kwa ajili yangu

6-naanza kukumbuka hapo nyuma akitaka kutoka namchagulia nguo ya kuvaa, leo inaniuma sana , kumbe nilikuwa namfanyia mwanaume mwungine,

7-hata tukikutana kimwili , naanza kumfikilia mwanaume mwenzangu yeye maumbile yake yapoje, aa ngoja niache tu , maana napata hasira , hata sioni sababu tena ya kuishi na mtu huyu.
 
Natafuta muda mzuri , lakini mrejesho ni leo jioni, nikitulia vizuri.
 
Dah! Suluhisho la kuachana ni kama ambavyo umesema pale juu, kwamba kuachana ingekuwa kipindi cha umri wa ujana. Sasa hivi mpo umri wa uzee,mna watoto na wajukuu, mtawaeleza vipi kuwa mmetengana?
Hebu acha kutumia hisia za moyo na utumie akili za kichwani kwenye hili jambo.
Wewe hujawahi kuchepuka tangu umuoe mama?
 
Unamridhisha mpaka leo? mmepishana miaka mingapi? unampa attention ya kutosha?
 
Kwa hiyo ushamuacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…