Mke wangu kanipa wakati mgumu

Mke wangu kanipa wakati mgumu

Sasa umebaki muda wa kubebishana na kula matunda ya ustafu,kunakuwa hakuna majukumu watoto wapo makwao,pilika pilika zinapungua, mama ampikie baba vyakula vizuri vya kambakamba protini pamoja na karanga ,mbogamboga.
Ngono ya uzeeni ni tamu hakuna streez za utafutaji kwa sana mnakuwa mmetafuta tayari.
Muda kujaliana kuuguzana,kusindikiza dakika za jiooooni kabisa.
Namuona baba yangu na mama yangu wapoo wawili tu wenyeweee...sote tumesambaratikaa full upendo...
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.

Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.

Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu

Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.

Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!

Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.

Mume—- aaa baba ajambo

Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa

Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!

Mume— poa.

Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,

Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.

Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
....inaendeleeeee
 
Watootoowanguueee mm bababayenuuu sinanguvuu tenaaa yà kuua simba...eeehhh..
 
Namuona baba yangu na mama yangu wapoo wawili tu wenyeweee...sote tumesambaratikaa full upendo...
Ndio urafiki wa kweli huo ,mnakula maisha, mnapeana umbeya . Kilichotokea hapa inajua nini? Ni ile mmeishi miaka mingi kana kwamba mambo yapo sawa,kumbe hujui kinachoendeleaga, kwamba upo kwenye ndoa na mkeo miaka mitano,lakini kuna mtu yupo na mkeo miaka mitatu humohumo wewe hujui.
Swali la kujiuliza je baba hakuwahi kuwa na makando kando hii miaka yao ya ndoa? Kama alikuwa anachepukaga ,amsamehe tu mama maisha yaendelee,watakuwa na wajukuu sasa ni muda wa kufurahi nao.
 
Amsamehe maisha yaendeleee basi...
 
DA DON,
Inaeezekana hasara ikawa ni kubwa kuliko uhai wangu? Maana inabidi kuangalia upande mwingine pia,
Kuna magonjwa na kuuana, maana ni dk sifuri hawa watu wakiendelea na mchezo wao wanaweza kusuka njama wakanimaliza
Anhaaa…, then thread lightly
 
Screenshot_20240517_144926_Facebook.jpg
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.

Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.

Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu

Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.

Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!

Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.

Mume—- aaa baba ajambo

Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa

Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!

Mume— poa.

Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,

Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.

Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
TUAMBIE UKWELI WEWE NI MTU MZIMA AU LISHANGAZI LAKO UMELIFUMANIA MESEJI ZAKO
 
Po
Pole Sana baba...Basi nikuombe kitu kimojaa kwanza tuliza akili ktk hili na usikurupuke kufanya maamuzi..kwa umri mlio nao kuachana sio busara kbsaa Mimi ninachofahamu ni kwamba,mtahitajiana zaidi na zaidi ktk umri wenu...mueleze mkeo uliyaona na msamehe maisha yaendeleee🙏nakutakia kila lililo jema ktk kulimaliza jambo hili..
Aiseee, ahsante,
Lakini kuishi na mtu ambaye unamwona kila siku hapo nyumbani na unajua alikusaliti ni ngumuuu,

Unajua mtoto wangu, sisi watu wazima tunaangalia vitu vingi sana kwa mkeo uliyempenda miaka yote hiyo

1- kwanza akicheka unajua hiki ni kicheko cha ukweli

2- akina nuna , unajua kbs kuna issue haipo sawa, lakini leo akinuna unajua labda kuna kitu yeye na hawara yake

3- akitembea ukaona umbo lake ambalo wewe ulilipenda, lile umbo tena unalitazama kivingine, na kuna mtu mnashare naye

3-Akiumwa, uangalizi wake kwake unapungua , sio kivile kama ulivyokuwa unamwangaikia hata kwa kukopa pesa kwa watu ambao hujawahi.-4

Huwezi tena kuwa unamwazia mwenzangu leo kala nini, nimletee kitu fulani,

5- hata akipendeza unaona kabla sio kwa ajili yangu

6-naanza kukumbuka hapo nyuma akitaka kutoka namchagulia nguo ya kuvaa, leo inaniuma sana , kumbe nilikuwa namfanyia mwanaume mwungine,

7-hata tukikutana kimwili , naanza kumfikilia mwanaume mwenzangu yeye maumbile yake yapoje, aa ngoja niache tu , maana napata hasira , hata sioni sababu tena ya kuishi na mtu huyu.
 
Hili nalo la kulitazama, wewe umelala nae miaka 30 unamjua vizuri, na kwa namna unamuona je hili linawezekana? Kwa namna umetueleza kule juu ni kwamba penzi lao limefifia.
Sasa je? Mrejesho baada ya kumuuliza imekuwaje? Tupe mrejesho tuanzie hapo.
Maana kwa sasa kuna kesi ndani ya kesi.
Wewe umeshatutaarifu kesi,hujatutaarifu ndani ya kesi ( mrejesho).
Natafuta muda mzuri , lakini mrejesho ni leo jioni, nikitulia vizuri.
 
Aiseee, ahsante,
Lakini kuishi na mtu ambaye unamwona kila siku hapo nyumbani na unajua alikusaliti ni ngumuuu,

Unajua mtoto wangu, sisi watu wazima tunaangalia vitu vingi sana kwa mkeo uliyempenda miaka yote hiyo

1- kwanza akicheka unajua hiki ni kicheko cha ukweli

2- akina nuna , unajua kbs kuna issue haipo sawa, lakini leo akinuna unajua labda kuna kitu yeye na hawara yake

3- akitembea ukaona umbo lake ambalo wewe ulilipenda, lile umbo tena unalitazama kivingine, na kuna mtu mnashare naye

3-Akiumwa, uangalizi wake kwake unapungua , sio kivile kama ulivyokuwa unamwangaikia hata kwa kukopa pesa kwa watu ambao hujawahi.-4

Huwezi tena kuwa unamwazia mwenzangu leo kala nini, nimletee kitu fulani,

5- hata akipendeza unaona kabla sio kwa ajili yangu

6-naanza kukumbuka hapo nyuma akitaka kutoka namchagulia nguo ya kuvaa, leo inaniuma sana , kumbe nilikuwa namfanyia mwanaume mwungine,

7-hata tukikutana kimwili , naanza kumfikilia mwanaume mwenzangu yeye maumbile yake yapoje, aa ngoja niache tu , maana napata hasira , hata sioni sababu tena ya kuishi na mtu huyu.
Dah! Suluhisho la kuachana ni kama ambavyo umesema pale juu, kwamba kuachana ingekuwa kipindi cha umri wa ujana. Sasa hivi mpo umri wa uzee,mna watoto na wajukuu, mtawaeleza vipi kuwa mmetengana?
Hebu acha kutumia hisia za moyo na utumie akili za kichwani kwenye hili jambo.
Wewe hujawahi kuchepuka tangu umuoe mama?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.

Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.

Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu

Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.

Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!

Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.

Mume—- aaa baba ajambo

Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa

Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!

Mume— poa.

Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,

Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.

Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
Unamridhisha mpaka leo? mmepishana miaka mingapi? unampa attention ya kutosha?
 
Nimemweka kikao usiku,
Ni utata mtupu,

Hii dunia mbaya sana , watu ni wabaya sana, usimwamini binadamu yeyote kwa familia yako.

Wapemba wapo vizuri kwa wake zao, ila sisi ni ngumu sana kuwa kama wapemba , na haiwezekani.

Tunatunza wanawake tu lakini sio mke,

Mke ni wa wote.
Amezidi kunichafua.

Nafikiria kuhama mji, hakuna cha kumilia hapa.

Sana sana unaweza tafuta murder case.
Kwa hiyo ushamuacha?
 
Back
Top Bottom