Mke wangu kanipa wakati mgumu

Mke wangu kanipa wakati mgumu

Hapo angalia na historia yenu kama Mama alikuwa ni mtu wa kuruka sana huenda kammiss bwana ake wa kitambo. Fanya maamuzi sahihi yanayoendana na mazingira yako
 
Alikuwa ni kigoli tu , ki uhakika huu ni mwaka wa 36 toka tujuane mala ya kwanza ,

Am 56 na yeye 53,
 
Kusema kweli , niliamua kukaa kimya mpaka nione mwisho nini kitatokea, ni basi tu usiku huo alinifanyia kitu cha ajabu mpaka ikabidi niulizie kuhusu hizo msg,

1/Mimi- hivi huyu mtu ni nani unawasiliana naye( namuuliza jina alilosave) kwanza ni kama hakumbuki hilo jina , baada ys sekunde , anachukua simu yake

1/ Yeye- ahaaha , huyu ni fulani, anataja jina tofauti huku ananionesha mwenye namba hiyo.

3- Mimi/ mbona umesave jina tofauti

4-Yeye/ hatamimi sifahamu , sielewi hili jina huwa linatokea hivi, lakini mimi namfahamu kwa jina la Musa( tumpe jina hilo la bandia)

5- Mimi/ ndio, huyo Musa ni nani kuandikiana msg kama hizi?

6-Yeye/ Baba fulani huyu Musa si yule kaka huwa anakuja hapa kutuletea vitu ( ni driver), hata wewe ndio ulikuwa unamwagiza na unamfahamu.

7-Mimi/ mbona mimi simkumbuki, wewe bado ulikuwa unawasiliana naye? Wakati mimi na yeye shughuli zetu zilikwishaisha? Na mbona hujawahi niambia kama bado una shughuli naye?!!!( huyu mtu nilikuwa namtumia kwa mambo yangu zaidi ya miaka kumi iliyopita)

8-Yeye / aa ni sawa lakini mimi bado nilikuwa naendelea kumtumia , ingawa yeye hizo shughuli alishaacha , lakini hua namtumia kuniunganisha na wenzake wsnaofanya shughuli kama zake kwakuwa anawafahamu.!!!

9-Mimi/ lakini kwenye hizi msg sioni kama kuna kitu unsmwomba akusaidie!

10-Yeye/ aah unajua upatikanaje wake sio rahisi , sasa naanzaga kumwandikia msg halafu nampigia simu baadaye kumweleza tatizo langu!!!

11-Mimi / kwa ukali sasa; hivi hiki kitu kinawezekana , umwandikie msg , badala ueleze tatizo lako , unasubiri akujibu ndio umweleze tatizo lako kwa kumpigia simu???

Na mbona hujawahi niambia kama huyu mtu huwa unawasiliana naye, pamoja na kwwamba mimi ndio nili kui introduce, miaka kumi??? Kweli miaka kumi.??? Unawasiliana na mtu hata bila kuniambia?????,

12-/Yeye , kwa upole , basi nisamehe kwa hilo, sikuwa na jua!

13-/Mimi, sielewi nikusamehe kwa lipi,
Huyu mwanaume ulikuwa na mahusiano naye wewe(Tusi) kwa ukali na sauti ya juu sasa, yeye macho yamebadilika kuwa mekundu, ananitizama tu , hajui aongee nini,

Wewe ni Malaya , miaka yote hii nakuamini kumbe wewe ni malaya( tusi) tena.

Nitsendelea
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.

Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.

Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu

Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.

Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!

Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.

Mume—- aaa baba ajambo

Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa

Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!

Mume— poa.

Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,

Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.

Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
Daaah
 
Endelea...
 
Jamani mimi nimewahi kufanya kazi za ULINZI

Katika Majukumu yangu yani hakuna kazi ngumu kama kumlinda mwanamke..😅😅

hakuna jukumu gumu nimewahi kufanya kama kumpeleleza mwanamke asichapwe nje.. ni hatari😅😅
 
Lakini upendo utsendelea tena ndugu yangu kuishi na mtu wa namna hii,
Kumbuka nimeishi naye miaka yote hiyo kumbe slikuwa na mambo yske,

Nasikia uchungu sana kama ni kweli alikuwa ni malaya, nashindwa hata kuongea naye vizuri,

Kila akiongea naona ni tapeli fulani,

Lakini swali langu lipo palepale , je nimuulize?

Isije ikawa ni sonona ya kukosa hela ndiyo unaanza kumsingizia mkeo. Maana kukosa kazi miska 2 kwa mwanamume siyo jambo dogo.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.

Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.

Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu

Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.

Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!

Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.

Mume—- aaa baba ajambo

Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa

Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!

Mume— poa.

Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,

Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.

Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
Chai
 
Kusema kweli , niliamua kukaa kimya mpaka nione mwisho nini kitatokea, ni basi tu usiku huo alinifanyia kitu cha ajabu mpaka ikabidi niulizie kuhusu hizo msg,

1/Mimi- hivi huyu mtu ni nani unawasiliana naye( namuuliza jina alilosave) kwanza ni kama hakumbuki hilo jina , baada ys sekunde , anachukua simu yake

1/ Yeye- ahaaha , huyu ni fulani, anataja jina tofauti huku ananionesha mwenye namba hiyo.

3- Mimi/ mbona umesave jina tofauti

4-Yeye/ hatamimi sifahamu , sielewi hili jina huwa linatokea hivi, lakini mimi namfahamu kwa jina la Musa( tumpe jina hilo la bandia)

5- Mimi/ ndio, huyo Musa ni nani kuandikiana msg kama hizi?

6-Yeye/ Baba fulani huyu Musa si yule kaka huwa anakuja hapa kutuletea vitu ( ni driver), hata wewe ndio ulikuwa unamwagiza na unamfahamu.

7-Mimi/ mbona mimi simkumbuki, wewe bado ulikuwa unawasiliana naye? Wakati mimi na yeye shughuli zetu zilikwishaisha? Na mbona hujawahi niambia kama bado una shughuli naye?!!!( huyu mtu nilikuwa namtumia kwa mambo yangu zaidi ya miaka kumi iliyopita)

8-Yeye / aa ni sawa lakini mimi bado nilikuwa naendelea kumtumia , ingawa yeye hizo shughuli alishaacha , lakini hua namtumia kuniunganisha na wenzake wsnaofanya shughuli kama zake kwakuwa anawafahamu.!!!

9-Mimi/ lakini kwenye hizi msg sioni kama kuna kitu unsmwomba akusaidie!

10-Yeye/ aah unajua upatikanaje wake sio rahisi , sasa naanzaga kumwandikia msg halafu nampigia simu baadaye kumweleza tatizo langu!!!

11-Mimi / kwa ukali sasa; hivi hiki kitu kinawezekana , umwandikie msg , badala ueleze tatizo lako , unasubiri akujibu ndio umweleze tatizo lako kwa kumpigia simu???

Na mbona hujawahi niambia kama huyu mtu huwa unawasiliana naye, pamoja na kwwamba mimi ndio nili kui introduce, miaka kumi??? Kweli miaka kumi.??? Unawasiliana na mtu hata bila kuniambia?????,

12-/Yeye , kwa upole , basi nisamehe kwa hilo, sikuwa na jua!

13-/Mimi, sielewi nikusamehe kwa lipi,
Huyu mwanaume ulikuwa na mahusiano naye wewe(Tusi) kwa ukali na sauti ya juu sasa, yeye macho yamebadilika kuwa mekundu, ananitizama tu , hajui aongee nini,

Wewe ni Malaya , miaka yote hii nakuamini kumbe wewe ni malaya( tusi) tena.

Nitsendelea
Hivi wewe una miaka 56 kweli au unatuchora tu hapa?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.

Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.

Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu

Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.

Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!

Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.

Mume—- aaa baba ajambo

Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa

Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!

Mume— poa.

Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,

Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.

Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
Huu muda wa kuwafuatilia wanawake mnaupata wapi?

Ukiamuwa kumfuatilia mwanamke uwe na uthubutu wa kuachana naye jumla, lakini kama unampenda acha biashara ya kumfuatilia mwanamke, timiza wajibu kitandani kwa high perfomance na hudumia familia yako, ujinga mwingine achana nao njoo pub tule ugimbi kuna vitoto vikali sana huku ubadili taste uwache kuwaza ujinga.
 
Back
Top Bottom