Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Mkuu ww ukiwa faraga na mkeo huwa unapiga kinanda yani namanisha huwa unatumia ulimi wako kupiga dekio pale kati kma jibu lake ndio kakueshimu huyooo!
 
Mwambie abadili jina hilo bora akuite lile jina la mbwa mpya wa Joe Biden
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mi naona kama uongoo vile!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kaaahh
 
Sante, niliandikishwa fulani mpumbavu huku sijui, kajisahau katuma screenshot mwenyewe akinitumia picha.
kucheck sender ni yeye.
Kumuuliza karuka futi 5000.
Ntampiga tukio hatasahau milele.
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbona mbwembwe nyingi sana kwenye kufikisha ujumbe mkuu hii sio chai kweli wadau!!

Maana ukisoma kwa kutulia unaweza ukamuelewa zaidi ya alichoandika hapa!
 
Vipi Jibwa koko? Bado tu hujamuuliza shemela wetu kwa nini amefanya ufala huo?
 
Pole sana itabidi uongee naye akueleze sababu za kukuita Mbwa.
 
Hana faida mgeuze msukule, upige hela
 
1. Mtoto haandaliwi Kwa kuchezea simu.
2. Ina maana haushiki simu yake Kabisa

Wewe Ni fala!
Fala wewe usie na kazi kutwa kuwinda simu ya mkeo.Tulio bize na life tumeacha huo utoto wa kupekua simu za wenzi wetu.Mbwa og wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…