Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Yaani kwa kutokuyaweka sawa baina yenu kabla hamjaondoka safari inadhihirisha yupo sahihi kabisa kukusave hivyo
 
[emoji23][emoji23] wanaume mnatakaga wenyewe kuitwa majina ya ajabu..

Eb jichunguze pengine unatabia za ki mbwa
Kikubwa apunguze kubweka bweka akiwa nyumbani.
Halafu na ile doggy style aachane nayo walau kwa miezi 3 aone kama kutakua na mabadiliko yoyote.
 
Ndo maana sitaki kumuuliza haraka haraka nataka ning’amue nini sababu mwenyewe anaweza niruka nikajiona mjinga
Kuna siku mkeo nilikua nae mimi, kisha wewe ulimpigia simu, kwenye simu yake jina lilisomeka HONEY,
Siku hio nilimind vibaya mno nikatia makofi mawili akawa ananilalamikia sasa akusevu vipi, suluhisho ndio likawa hilo jina.
Samahani mkuu hii ni tafsiri tu ya kiroho ya hilo jina lako jipya.
 
Soma vizuri tuliitafuta chumbani kwetu ndipo uamuzi wa kuibeep ukaja ikaita kwa dogo TATIZO LIPO WAPI HAPO

Unapopiga simu, kioo cha simu inayopigwa huonesha jina la mpigaji kwa kadiri lilivyohifadhiwa...

Sasa we huoni tatizo hapo, mkeo kakusave jina MBWA na bado yupo huru simu yake ipigwe mazingira ambayo nawe utaweza kuona jina aliloku-save...

Kama hujaona tatizo, basi hata huu uzi hauna maana tena...think!!
 
Muulize sababu za kukusave mbwa. Sijuh kwann mnawaogopa wake zenu, mnabaki kuumia
 
Bao lako linachukua muda gani!? Kama umewahi ona mbwa akisex utakuwa umenielewa. Hongera!
 
Msave MBWA JIKE hakikisha anajua ulivyomsave

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kujua. Labda mke yuko sahihi

Mbona mimi Sky Eclat kanisave honey sijawahi kulalamika JF kama baba yangu ni nyuki?

Mashahidi zangu Kasie na my dear mjukuu Joanah


Aahahahahaa babuuu...

Huyo jamaa hajui mkewe ji Mngoni na kule kwao majina ya wanyama ni sifa....

Tena ashukuru kamsevu mbwa muda wowote anaweza kuseviwa kama ng’ombe au chura😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…