Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

Msaidizi yupo na ndio anaplan kwenda naye, hofu yangu ni hali ya hewa kubadilisha hawa watoto maana bado wadogo, mwanzo niliwaza huyu msaidizi abaki lakini niongeze msaidizi wa pili wa kulea watoto.
Ndg. Watoto wako wanachangamoto za kiafya zinazazosababishwa na kubadili mazingira?

Ila wazazi wengine mnatia hasira sana. Mnadekeza watoto kama mayai. Mnatuandalia taifa la hovyo.

Kama hutaki watoto wahame mkoa tena wakakae na mama yao hivi kesho unaweza kumruhusu huyo mtoto ashike jembe akalime?!

Anyway, hata kama utawatafutia wasidizi elfu 7 hao watoto, unadhani watakuwa replacement ya mama yao?! Peleka watoto kaishi na mama yao huko.
 
Habarini wapendwa.

Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo anayonya (Mwaka mmoja).

Sasa nina changamoto moja,

Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto awaache, ila yeye anahisi hataweza bila watoto hasa huyu mdogo, hiki kitu kinaniumiza kichwa sababu hatujui ni lini taasisi yake itakubali kumhamishia hapa nilipo.

Wazoefu naomna mawazo yenu!

Ahsante:
Namba yake kama hutojali
 
Ndg. Watoto wako wanachangamoto za kiafya zinazazosababishwa na kubadili mazingira?

Ila wazazi wengine mnatia hasira sana. Mnadekeza watoto kama mayai. Mnatuandalia taifa la hovyo.

Kama hutaki watoto wahame mkoa tena wakakae na mama yao hivi kesho unaweza kumruhusu huyo mtoto ashike jembe akalime?!

Anyway, hata kama utawatafutia wasidizi elfu 7 hao watoto, unadhani watakuwa replacement ya mama yao?! Peleka watoto kaishi na mama yao huko.
Mkuu mbona umeongea kwa hasira vile, ni watoto wadogo, na wala hakuna anayewalea kimayai, ni scenario mpya ndio maana nikaona nipate ushauri kwa wazoefu.

Usiwe serious kiasi hicho Mkuu
 
Mzee baba ukitaka ujitundike ubaki na huyo mtoto,hasa watoto wachanga ni wasumbufu kinoma,mm nlidhani naweza kaa na mtoto nliachiwa 2hrs nliona kama wiki sitakuja sahau.
Aliniachia hizi Siku tatu alienda kureport Jumatatu leo ndio karudi ; asee naona kama nineachiwa mwaka, maana kadogo hakalali kanasumbua kinyama 😃
 
Back
Top Bottom