Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

Kambarage pa kiduwanzi kule.

Nyumba za kizamani (zile za vyumba vitatu kushoto vitatu kulia katikati korido limejaa madumu ya wapangaji).

Maeneo classic kwa mtu aliyetoka Dar ni Majengo Mapya na Lubaga
Eti Corridor limejaa madumu ya wapangaji, inaonekana mitaa hiyo maji ya shida au hayo ni madumu ya pombe?
 
long distance relationship ni mbaya sana. labda kama mmezoea kuchitiana. lazima atacheat sana tu na wewe utacheat. hakuna ndoa hapo. kama ipo ni ya kuzaa na kulea watoto ila sio ndoa kama hizi tulizo nazo sisi wengine. ukweli mchungu.
Hakuna namna Mkuu, lakini nitapambana kujaribu kumrudisha mjini hapa, Mim wenyew kuishi mbali vile ni changamoto
 
Habarini wapendwa.

Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo anayonya (Mwaka mmoja).

Sasa nina changamoto moja,

Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto awaache, ila yeye anahisi hataweza bila watoto hasa huyu mdogo, hiki kitu kinaniumiza kichwa sababu hatujui ni lini taasisi yake itakubali kumhamishia hapa nilipo.

Wazoefu naomna mawazo yenu!

Ahsante:
Yani hapa jibu lipo wazi sana mwache aende na watoto kikubwa muwe na mawasiliano mazuri .....kiasili wew ni mtaftaji siyo mlezi waza kiutuzima sasa mambo ya hali ya hewa Acha nanayo .....
 
Mzee baba ukitaka ujitundike ubaki na huyo mtoto,hasa watoto wachanga ni wasumbufu kinoma,mm nlidhani naweza kaa na mtoto nliachiwa 2hrs nliona kama wiki sitakuja sahau.
Aliniachia hizi Siku tatu alienda kureport Jumatatu leo ndio karudi ; asee naona kama nineachiwa mwaka, maana kadogo hakalali kanasumbua kinyama 😃
Ndio tukiimbiwa nani kama mama muwe mnaelewa sio kudiss tu
 
Muache aende na mtoto ila mtaftie msaidizi. Ila kama wewe ni baba wa nyumbani mwambie akuachie tu.
Tafta sana pesa kwa ajili ya watoto wako baadae.....
Kwa sasa akili yako elekeza kwenye kulea watoto wako kwa % kubwa maana akishaenda huko ni hatari hatarishi. Yaani ni 50/50
Kwaiyo mkuu akienda uko itakuwa double chance?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Habarini wapendwa.

Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo anayonya (Mwaka mmoja).

Sasa nina changamoto moja,

Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto awaache, ila yeye anahisi hataweza bila watoto hasa huyu mdogo, hiki kitu kinaniumiza kichwa sababu hatujui ni lini taasisi yake itakubali kumhamishia hapa nilipo.

Wazoefu naomna mawazo yenu!

Ahsante:
Ajira za serkali ni sawa na kuolewa unapelekwa wanakotaka wao. Hii ni moja ya sababu iliyonishawishi kufanya kazi zangu mwenyewe

Ushauri: Ruhusu aende na watoto, hao ndio walinzi wako otherwise watamkula sana
 
Habarini wapendwa.

Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo anayonya (Mwaka mmoja).

Sasa nina changamoto moja,

Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto awaache, ila yeye anahisi hataweza bila watoto hasa huyu mdogo, hiki kitu kinaniumiza kichwa sababu hatujui ni lini taasisi yake itakubali kumhamishia hapa nilipo.

Wazoefu naomna mawazo yenu!

Ahsante:
Kama wewe umejiajiri haraka Sana ufanye mipango ya kuhamia hukohuko shinyanga kwa mkeo kinyume na Hapo NDOA INAKUFA.
 
Msaidizi yupo na ndio anaplan kwenda naye, hofu yangu ni hali ya hewa kubadilisha hawa watoto maana bado wadogo, mwanzo niliwaza huyu msaidizi abaki lakini niongeze msaidizi wa pili wa kulea watoto.
Watoto waende na mama yao. Shinyanga Sehemu gani?
Sio rahisi lakini jaribu kama Taasisi aliyopangiwa ina Ofisi huku unapoishi sasa jaribu kuwaomba wampangie hapo kwa muda.
 
Back
Top Bottom