Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nakuonea huruma sana, hao Watoto angalau watakusaidia asijiachie sana lakini kuliwa ni lazima, huu ndio ukweli mchungu ambao ni lazima ukubaliane nao.Habarini wapendwa.
Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo anayonya (Mwaka mmoja).
Sasa nina changamoto moja,
Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto awaache, ila yeye anahisi hataweza bila watoto hasa huyu mdogo, hiki kitu kinaniumiza kichwa sababu hatujui ni lini taasisi yake itakubali kumhamishia hapa nilipo.
Wazoefu naomna mawazo yenu!
Ahsante:
Yani kwamba unamaanisha amfuate mwanamke?Acha Aende Kutafuta Mkate Wa Kila Siku, Nawe Kama Huna Majukumu Nenda Naye
Tumia Hii Formula Ya Mzilankende Itakusaidia Sana Sana
Win Win Situation
Nipo hapa shinyanga pliz nipatie mawasiliano yake niwe mwenyeji wake[emoji120][emoji120]Habarini wapendwa.
Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo anayonya (Mwaka mmoja).
Sasa nina changamoto moja,
Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto awaache, ila yeye anahisi hataweza bila watoto hasa huyu mdogo, hiki kitu kinaniumiza kichwa sababu hatujui ni lini taasisi yake itakubali kumhamishia hapa nilipo.
Wazoefu naomna mawazo yenu!
Ahsante:
Nipo hapa shinyanga pliz nipatie mawasiliano yake niwe mwenyeji wake[emoji120][emoji120]
Aje hapa lizamata au kitangili mkuuShinyanga hakuna hali mbaya ya hewa ni jua na kavumbi kama mbugani, la hali ya hewa mbaya ondoa! Labda lingine
Na mjini pako poa simple tu!
Hata maeneo ya kupanga naweza kushauri atafute kambarage etc ni pazuri na karibu na town.. asikae mtaani sana kwa wananzengo
Mkuu huyu shemeji tena nimke wamkuu mwenzetu humu hivyo lazima aheshimiwe ananyonyesha bado hatuwez kumharibia mtoto bhana usiwaze vbaya kias hichoDahh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
💯🤝Kuliwa huko muhimu wacha aende na watoto
Na kuhama huko sio Leo Wala kesho
Wewe ukibaki nao hutoweza kuwalea. Ni kazi ngumu sana mwanaume kulea mtoto mdogo.Mkuu mbona umeongea kwa hasira vile, ni watoto wadogo, na wala hakuna anayewalea kimayai, ni scenario mpya ndio maana nikaona nipate ushauri kwa wazoefu.
Usiwe serious kiasi hicho Mkuu
Kambarage pa kiduwanzi kule.... naweza kushauri atafute kambarage etc ni pazuri na karibu na town.. asikae mtaani sana kwa wananzengo
Thread 'Mke wangu kapata kazi Mkoani!' Mke wangu kapata kazi Mkoani!Habarini wapendwa.
Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo anayonya (Mwaka mmoja).
Sasa nina changamoto moja,
Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto awaache, ila yeye anahisi hataweza bila watoto hasa huyu mdogo, hiki kitu kinaniumiza kichwa sababu hatujui ni lini taasisi yake itakubali kumhamishia hapa nilipo.
Wazoefu naomna mawazo yenu!
Ahsante:
NakaziaImetoka hiyo[emoji23]
MtihaniHabarini wapendwa.
Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo anayonya (Mwaka mmoja).
Sasa nina changamoto moja,
Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto awaache, ila yeye anahisi hataweza bila watoto hasa huyu mdogo, hiki kitu kinaniumiza kichwa sababu hatujui ni lini taasisi yake itakubali kumhamishia hapa nilipo.
Wazoefu naomna mawazo yenu!
Ahsante:
Call me SoloAnakuja mwanza mkuu? akaribie kwangu tu wala hamna shida
Mwaka jana ulituambia alipangiwa kazi Kagera,hakwenda kule au?Habarini wapendwa.