rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Wewe kinachokuumiza kichwa ni mama kwenda na mwanae??? mzima kichwani kweli wewe??? yani hapo ndo vizuriii maana hata kucheat atacheat kwa akili angalau atakumbuka ndomu pia atamkeep busy sasa wew unataka akuachie mtoto utamnyonyeshaa wew??? unadhani kulea mtoto mdogo ni lele mamaa au wew ni baba wa nyumbani??? UNAKWAMAAAAAA.Habarini wapendwa.
Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo anayonya (Mwaka mmoja).
Sasa nina changamoto moja,
Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto awaache, ila yeye anahisi hataweza bila watoto hasa huyu mdogo, hiki kitu kinaniumiza kichwa sababu hatujui ni lini taasisi yake itakubali kumhamishia hapa nilipo.
Wazoefu naomna mawazo yenu!
Ahsante: