Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

umeongea kikubwa sana mkuu..
 
Kuna fala anakula kiulaini mzee
 
Siku ukifa wanao watateseka sana.
Mkeo hatajua pa kuanzia na mwishowe anaweza kuishia kujiuza.

Jifunze kuwa baba na mume bora.

Hii misimamo yako ni ya kikoloni sana.

Mwanamke ni bora akipata mwalimu na mume bora
 
Mbona mnakuwa na uchungu na maisha ya watu kiadi hiki?

Mke ni wake
Hasara ni yake...kwanini umpige?
 
Kwanza mwanamke anatoa nguvu wapi ya kukujibu hivyo ?
Kuna kitu hakipo sawa.
1. Mwanamke ana akili ndogo na duka limempa kiburi.

2. Mwanamke ni limbukeni anaona kama ameyapatia maisha.
3. Jamaa hajasimamia nafasi yake..
Huwezi kukosa hata siku moja ya wiki mfanye hesabu.

4. Mke atatoa wapi nguvu ya kunitamkia neno kama hilo ikiwa anajua uwezo wangu wa kiuongoxi katika familia?
 
Nature ya mwanamke ni mbinafsi. Jana wife aliniletea mambo ya kiwaki kinamuonesha mlango. Ukikosa sauti kwenye familia thamani yako kama baba inakufa. Na wewe unakua umekufa
Una akili sana man

Don't you ever loose your voice.

Inabid ajue nafasi yake, kwamba yeye ni nini? mpaka akupande kichwani.

Nowadays wanawake kwenye mambo ya hela wanatamaa sana isiyo elezeka

Huenda inachangiwa na hali ya kupewa kila kitu na wazazi hivyo hawajui uchungu wa kutafuta au kupoteza

Wanaona kila kitu rahisi rahisi kwa kivuli cha mwanamke matunzo WTF unatunza nini kama hakileti faida or hakina mchango wowote zaidi yakukupa stress na kukuondolea furaha ya moyo.

Nimeandika kwa hasira sanaπŸ˜‚
 
mkuu natoka home saa 10 usiku,narudi saa 1 jioni,sasa hip muda wa kuwa karibu ni ngumu mkuu.
sio lazima uwe karibu, inatakiwa kila siku akupe taarifa ya mauzo yote, matumizi yote ya kwenye biashara. Tatizo naloliona hiyo biashara hukuifungua kwa nia ya kkukuongezea kipato. Ulifungua kwa nia ya kumpa mkeo sehemu ya kupotea muda asikae nyumbani, ndio maana huijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…