GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
HahahahaKwann unakubali mwanamke uliyemuoa, akujibu majibu ya namna hiyo??.
Hakika una feli mbwa wee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaKwann unakubali mwanamke uliyemuoa, akujibu majibu ya namna hiyo??.
Hakika una feli mbwa wee
kivipi kiongozihapa ndipo unafeli sasa.
muda wangu wa kujirekebisha umeshapita mkuu,hukumu iliyotoka ni kurudisha frem kwa wenyewe kila mtu ashinde mechi zake..Umefeli kwenye usimamizi
umeongea kikubwa sana mkuu..Kwanza nikupe moyo karibu wanawake wote wako hivyo hasa inapokuwa biashara ya familia....ni moja kwa Mia kwa baadhi wanaojitambua...ni viumbe vina akili sana ila tatizo Lao kubwa ni rahisi kuwa rubuni wakapoteza lengo...inatakiwa helima na akili kubwa kuwa rudisha kwenye mstari
Kama hata baada ya koment za wadau bado unauliza kivip, basi we ni kiazi, temana na mm jombaakivipi kiongozi
Kuna fala anakula kiulaini mzeeWakuu,
Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa.
Unapewa miezi 3 ya kujenga, hata kama hujamaliza fremu inaanza kusoma. Nilimaliza ujenzi ndani ya miezi tisa, nikaweka vifaa vya umeme wa majumbani.
Kwa kuwa mimi ni muajiriwa wa serikali, nikaona bora mke wangu akae maana alikuwa hana shughuli analala tu nyumbani.
Ni miaka miwili imepita bado mwaka mkataba uishe, hela anazouza mimi sizioni wala sijui ziko wapi, vifaa anaenda kujumua yeye, mambo yote ni yeye.
Sasa kuna wakati nakuwa sina hata hela ya kula, ilibidi leo nimuulize, inakuwaje fremu ni ya kwangu nimejenga mimi na mtaji ni wangu kwa nini hela anazificha na mimi sina hela.
Amenijibu kuwa nikiona hivyo, KUNA MAHALI NAFELI akanyamaza.
Sasa wakuu hivi nafeli wapi?
Siku ukifa wanao watateseka sana.Weeee weeeee weee nmeona, Mimi Toka harakati zangu za mapenzi, Huwa nahakikisha mwanamke ni kiumbe kinyonge kwangu.
Pitia pitia nyuzi zangu, ndo utajua Mimi ni mwanaume wa aina gan.
Mwanamke ni Chombo Cha STAREHE ..unaelewa maana ya kua Chombo Cha STAREHE?
Mbona mnakuwa na uchungu na maisha ya watu kiadi hiki?Umefeli pakubwa we nyau wewe. Mwanamke anakuwaje na mandate kubwa kiasi hicho kwenye biashara? Yeye alitakiwa awe chini Yako yaani afanye kazi Kwa kujua kuwa unamfatilia. Yeye auze na jioni mfunge mahesabu pamoja Tena ukibaini upotevu kuwa mkali. Sasa miaka miwili yeye anaendesha biashara Kwa kufunga na kifungua mahesabu peke yake! Trust me atakua anawekeza mahali Fulani naukizingua mtaachana na yeye atakua mbali Sana.
Wewe hutambui nafasi Yako Kama mwanaume na yeye amejua Hilo ndiomaana anaendelea kukusumbua. Mtoe dukani arudi kulala kwenye korido za nyumba na dukani weka mtu. Yaani we jamaa ningekua jirani nawe ningekutwanga makofi fuvu likae sawa. Miaka miwili hujui mtaji upo au umekua kiasi gani, je kama Kuna jamaa anaendesha biashara hiyo Kwa kumnyandua mkeo utajuaje?
Kuna mpuuzi Kama wewe huku mtaani ndoa yake imeingia mdudu. Mke alipewa mtaji wa nguo akawa anafuata mzigo Dar na kuja kuuza. Mwaka mmoja tu ulitosha kupata njemba wa kumuongezea mtaji na jamaa kuja kustuka it's too late.
Kuna kitu hakipo sawa.Kwanza mwanamke anatoa nguvu wapi ya kukujibu hivyo ?
Kwa kuongezea bichwa lake tupu km kocha wa yangaKwann unakubali mwanamke uliyemuoa, akujibu majibu ya namna hiyo??.
Hakika una feli mbwa wee
Na pia unipe namba yake nimtombe akili imkae sawanimepanga muda ukiisha nikabidhi fremu kwa kanisa,vitu nifungie ndani
😂😂😂👐Na pia unipe namba yake nimtombe akili imkae sawa
Una akili sana manNature ya mwanamke ni mbinafsi. Jana wife aliniletea mambo ya kiwaki kinamuonesha mlango. Ukikosa sauti kwenye familia thamani yako kama baba inakufa. Na wewe unakua umekufa
sio lazima uwe karibu, inatakiwa kila siku akupe taarifa ya mauzo yote, matumizi yote ya kwenye biashara. Tatizo naloliona hiyo biashara hukuifungua kwa nia ya kkukuongezea kipato. Ulifungua kwa nia ya kumpa mkeo sehemu ya kupotea muda asikae nyumbani, ndio maana huijalimkuu natoka home saa 10 usiku,narudi saa 1 jioni,sasa hip muda wa kuwa karibu ni ngumu mkuu.