Mke Wangu katoroka na watoto wetu wa nne. Naombeni ushauri

Usikubali kabisa Kumpokea atakutesa yeye na mama mkwe wako. Tena ikibidi karipoti serikali za mtaa kabisa ili akija Ukatae kumpokea. watakuja kukuua ili wale Maisha. kuna kila dalili ya usaliti na steling ni mama yake
tayari ana watoto 4 naye, watoto wanamhitaji baba, na baba anawahitaji watoto, ama la, atavuna mabua, ukiachia mwanamke watoto wataharibika na ni hasara kwako, pia yeye atakuja kusamehewa na watoto ila wewe hautasamehewa watoto wakiwa na akili watauliza hata kama mama alikosea wewe kama baba ulitakiwa utupambanie haukutakiwa kututelekeza. malezi ya baba na mama ni muhimu sana sana asikwambie mtu. umizaneni ila hakikisheni kuumizana na kushindana kwenu hakuahthiri watoto.
 
NAshauri KAA KIMYA KABISA. UTAPATA MAJIBH KARIBUNI. HUYO MKWE ATACHOKA KUTUNZA WATOTO. TOA TAARIFA KITUO CHA POLISI PATA RB ITAKUSAIDIA BAADAE. RB YA UTORKSHAJI WA WATOTO.
 
Umri 32 nnaishi kwangu ila kuna kadalili mama mkwe hua analazimisha kuniendesha hapo ndipo hua tunapishana na katka kunidharau hivyo inaweza kua huyu mtoto wao hua ananisema vbaya ndio maana yanatokea hayo ya mama kutoheshimiana nae
Miaka 32 mwanaume tayari una watoto wanne?
 

Pole Sana.

Hana adabu.
Mama yake Hana adabu.

Ukiruhusu akarudi huna AKILI.
 
Umri 32 nnaishi kwangu ila kuna kadalili mama mkwe hua analazimisha kuniendesha hapo ndipo hua tunapishana na katka kunidharau hivyo inaweza kua huyu mtoto wao hua ananisema vbaya ndio maana yanatokea hayo ya mama kutoheshimiana nae

Mwanamke yeyote hawezi kujaribu kukuendesha kama hajapima maji na kuona anayamudu.
Huyo mama amekudharau.
Mkeo naye anaakili za Mamaake.

Kwa Sisi Watibeli hiyo Kesi ingeisha mapema Sana.
 
Nikiiweka voice hapa hutorudisha neno
 
Yaani mwanamke hana hela yoyote mpaka atumiwe hela ndo apange Safar. Mpe uhuru ila wenye mipaka asiishi kama yuko gerezani kumbe yuko katika ndoa mapungufu ni mengi ya ndoa ila jaribu kuona lililo njema muishi vyema na watoto wenu . Kingine mama mkwe ana adabu kabisa mambo ya familia yako yeye anayaingilia ili iweje
 
Ni mwanamke mwenzie ndo maana unamshauri mwamba ujingaaa
 
Nme safiri week mbili tu kuna jiran kamtext wife eti ana muomba anisaidie majukumu kipindi ambacho sipo.. namsikitikia sana uyu bwana ,he won't see It coming
anataka kumlombaaa wife
 

Zaa wengine
 
Ujinga uliotukuka huu
 
Una uhakika hao watoto ni wako?
 
Huyo mama mkwe ana mume? Ni kama swali la kijinga lakini lina maana kubwa sana
 
Umeongea kama nilivyokuwa nawaza mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…