Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

Hahaha..
Ilikuwaje ukaoa limbukeni broo?!

Itakuwa na wewe unapenda kuuza sura mitandaoni. Haiwezekani ukatae kwa kumaanisha arudie kuku post.

Wanasema 'Birds of a feather flock together'.
 
Back
Top Bottom