Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

Katika kumkanya haujawahi kumaanisha na kweli akakuona upo siriaz. Unamkanya leo kesho anarudia unamkanya tena kesho keshokutwa anarudia unamkanya kesho kutwa kesho yake anarudia tena. Ashakuona boya hauwezi kwenda zaidi ya hapo. Kwenye suala lolote mwanamke akishajua kikomo chako na akaona anakumudu jiandae tu kupelekeshwa. Unatakiwa kumkanya mara kwanza akirudia tena unatandika makofi.
 
Mbinu ya kudanganya hujaoa nitakuoa imefeli, tumia nyingine.
 
Sasa si mke wako mkuu au una makando kando yako ulidanganya upo singo?!
Sio wote wanapenda kuji show off mitandaon. Jicho la husda lipo,mwingine hta akila kapost,kanya kapost my maviiii kempiskiii,
Mkanye huyo sema huo ugonjwa wa social sydrome media ni janga
 
Back
Top Bottom