Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
tuma namba yako nimkanyeWakuu habari
Kichwa cha habar cha husika
Mke yupi kati yao?Wakuu habari
Kichwa cha habar cha husika
Mvizie akiwa amelala vibaya umrekodi na wewe umpost humuWakuu habari
Kichwa cha habar cha husika
Hahaha..Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??
Kama unaushauri au same experience si mbaya ukashare na jinsi ulivotatuaKwahiyo tukushauri cha kufanya au tujiunge kusikitika na wewe?
umkanye au umtongoze!!tuma namba yako nimkanye
heeMke yupi kati yao?
mkuu namtongozaje mke wa mtu. ana nini cha mno. yaani mtu sijamuona nimtongozeumkanye au umtongoze!!
umalaya tu we jamaa