Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

Mwanzo wa uchumba alikuwa msafi?msimamie uwii sipendi uchafu jamani napenda kila kitu kikae mahala pale
Mimi napenda maisha ya order yaani kila kitu kiwe vile inavyopasa kuwa, baadhi huwa wananiita perfectionist kwa sababu ya huo utaratibu wangu. Sasa sijui nakosea au vip
 
Mrudishe kwao, unaoaje mtu mchafuuuuu.
Mpe likizo akajitafakari.
 
Madam, hapo unapoishi naweza pata chumba na sebule, kuna jambo nataka kuja kumfunza huyo jirani yenu
 
Pole mlete huku tumfunde
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usinikumbushe nilikuwa chuo sasa nilipanga nyumba moja na hawa mabinti wa 2000+ jamani ni wachafu vyombo vichafu vinawekwa kwenye beseni mpaka funza wanatoka wenyewe hawana mudaaa.
 
Upande wa K.... Huko kukoje? Anyway....unaweza nitumia namba yake ya simu niongee naye? Niliwahi pata mtu wa namna hiyo nlimbadilisha. Kuna namna anabadilika huwezi amini.
 
Vumilia, endelea kuonyesha kuchukizwa na hii hali.

Hata wewe kuna madhaifu yako anakuvumilia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usinikumbushe nilikuwa chuo sasa nilipanga nyumba moja na hawa mabinti wa 2000+ jamani ni wachafu vyombo vichafu vinawekwa kwenye beseni mpaka funza wanatoka wenyewe hawana mudaaa.
😂😂😂😏🙅
 
Nimesema mpaka nimechoka. Nimesema Sana wakati wa kuchagua mke usiangalie hicho kijungu tu hapo nyuma ya mwanamke, Mnaoa matako halafu mnakuja kulalamika huku.
Matako yanapika?
Matako yanafagia?
Matako yanafua?
Ni kweli mwanamke mwenye tako kubwa mtamu hata hivyo Kuna singo maza wengi tu wenye mijitako mikubwa. Mchana enjoy na singo maza mwenye tako, jioni Rudi kwa mkeo mwenye busara na msafi japo Ni flat screen.
Uzuri mwingine wa kuoa flat screen Ni kwamba hakuna mwenye habari nae yaani hatongozwi. Ila mwenye tako baba, kila akipita watu wanageuka kuanzia kijiwe Cha bodaboda Hadi kwenye lift ya ofisini. Huko kwenye daladala ndio usiseme.
Mimi napenda flat screen 32".
 
[emoji16][emoji16][emoji16]umeongea ukweli mtupu kuna mwanamke nilimtoa out kwenda kuogelea tu sikupanga kufanya nae chochote aisee yule dada aliku akikaa akisimama anatoa harufu mbaya nahisi ile harufu ni mchanganyiko wa hayo yote ulio yataja. Alafu pisi ni kali kichizi yani
 
Mwanamke mchafu ukute kipind ndo ametoka kujifungua ana harufu fulani kama ng'onda na Kwa vile ananyonyesha hana ruhusa ya kupaka manukato duh!! Utasanda hiyo harufu..
Kwa hiyo leo mmeamua kuwasema wake zenu!
 
Wananuka mbaya....mbo zinazoingia ni nyingi afu usafi ni zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…