fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Ru
Tuhame zetu kipenzi changuKwishaaa mim pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuhame zetu kipenzi changuKwishaaa mim pm
Mimi napenda maisha ya order yaani kila kitu kiwe vile inavyopasa kuwa, baadhi huwa wananiita perfectionist kwa sababu ya huo utaratibu wangu. Sasa sijui nakosea au vipMwanzo wa uchumba alikuwa msafi?msimamie uwii sipendi uchafu jamani napenda kila kitu kikae mahala pale
Madam, hapo unapoishi naweza pata chumba na sebule, kuna jambo nataka kuja kumfunza huyo jirani yenuMajanamke mengi yapo ivo,masafi physical appearance... Mazingira yanayomzunguka ni zero....uchi wake na kinyeo chake kutawaza vyema zero....jumlisha harufu ya fungus,pid na ped iliyochelewa kubadilishwa ndio doooh! Namchukia kweli mpangaji mwenzangu aliyemwaga ukoko wa ugali getin leo asubuhi.Ee Mwenyez Mungu nijaalie nijenge kibanda changu[emoji120]
Ni vizuri inatakiwa hivyoMimi napenda maisha ya order yaani kila kitu kiwe vile inavyopasa kuwa, baadhi huwa wananiita perfectionist kwa sababu ya huo utaratibu wangu. Sasa sijui nakosea au vip
Pole mlete huku tumfundeHeri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekuwa mbaya.
Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale, binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.
Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja, hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.
Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakuwa safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.
Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiyejali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.
Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.
Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kuna MTU anahama week ijayo...karibuMadam, hapo unapoishi naweza pata chumba na sebule, kuna jambo nataka kuja kumfunza huyo jirani yenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usinikumbushe nilikuwa chuo sasa nilipanga nyumba moja na hawa mabinti wa 2000+ jamani ni wachafu vyombo vichafu vinawekwa kwenye beseni mpaka funza wanatoka wenyewe hawana mudaaa.Majanamke mengi yapo ivo,masafi physical appearance... Mazingira yanayomzunguka ni zero....uchi wake na kinyeo chake kutawaza vyema zero....jumlisha harufu ya fungus,pid na ped iliyochelewa kubadilishwa ndio doooh! Namchukia kweli mpangaji mwenzangu aliyemwaga ukoko wa ugali getin leo asubuhi.Ee Mwenyez Mungu nijaalie nijenge kibanda changu[emoji120]
Upande wa K.... Huko kukoje? Anyway....unaweza nitumia namba yake ya simu niongee naye? Niliwahi pata mtu wa namna hiyo nlimbadilisha. Kuna namna anabadilika huwezi amini.Heri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekuwa mbaya.
Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale, binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.
Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja, hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.
Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakuwa safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.
Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiyejali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.
Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.
Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
😂😂😂😏🙅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usinikumbushe nilikuwa chuo sasa nilipanga nyumba moja na hawa mabinti wa 2000+ jamani ni wachafu vyombo vichafu vinawekwa kwenye beseni mpaka funza wanatoka wenyewe hawana mudaaa.
Wanasema eti tabia yangu ya kutaka kila kitu kiwe sawa inamtesa mke wangu.Ni vizuri inatakiwa hivyo
Hatuwezi fanya akahama week hii, nimpe pesa kidogo akajihifadhi sehemu.Kuna MTU anahama week ijayo...karibu
😂ngoja nimtoe keshoHatuwezi fanya akahama week hii, nimpe pesa kidogo akajihifadhi sehemu.
[emoji16][emoji16][emoji16]umeongea ukweli mtupu kuna mwanamke nilimtoa out kwenda kuogelea tu sikupanga kufanya nae chochote aisee yule dada aliku akikaa akisimama anatoa harufu mbaya nahisi ile harufu ni mchanganyiko wa hayo yote ulio yataja. Alafu pisi ni kali kichizi yaniMajanamke mengi yapo ivo,masafi physical appearance... Mazingira yanayomzunguka ni zero....uchi wake na kinyeo chake kutawaza vyema zero....jumlisha harufu ya fungus,pid na ped iliyochelewa kubadilishwa ndio doooh! Namchukia kweli mpangaji mwenzangu aliyemwaga ukoko wa ugali getin leo asubuhi.Ee Mwenyez Mungu nijaalie nijenge kibanda changu[emoji120]
Kwa hiyo leo mmeamua kuwasema wake zenu!Mwanamke mchafu ukute kipind ndo ametoka kujifungua ana harufu fulani kama ng'onda na Kwa vile ananyonyesha hana ruhusa ya kupaka manukato duh!! Utasanda hiyo harufu..
Wananuka mbaya....mbo zinazoingia ni nyingi afu usafi ni zero[emoji16][emoji16][emoji16]umeongea ukweli mtupu kuna mwanamke nilimtoa out kwenda kuogelea tu sikupanga kufanya nae chochote aisee yule dada aliku akikaa akisimama anatoa harufu mbaya nahisi ile harufu ni mchanganyiko wa hayo yote ulio yataja. Alafu pisi ni kali kichizi yani
Hao baadhi yao wanajua kuomba omba tu..Bora wakwako anajua kuoga,huyu wangu hata kuoga ni shida,wagogo acheni uchafu jamani mnatukera