Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

Hila hizi ndoa hizi..kudadadeki,mimi na hasira zangu naweza kumvunja mtoto wa mtu miguu..

Yaani siku zote hufanyi usafi ila wakija kina Mama ndo ujifanye unafanyaga?..nitakuzaba vibao,seriously..huu ni ujinga..

Japokuwa huwa siwazi kumpiga mtoto wa kike,ila kwa hili lazima nikunase vibao.
 
Just " The same to you" is enough. Mmezoea Merry Christmas peke yake 😆😆
Leo ndio siku ya kujawa na furaha na tabasamu muda wote usoni coz zile zawadi zoote ulizopokea siku ya jana zinapaswa zifunguliwe leo😊
Usije kuwa unajilengesha kwa mwanaume mwenzako..shaurilo
 
You knew her before you married her

That is your problem
 
Tatizo ni tiki toku, insitagiramu. Sinapuchati na fesibuku kwenye simatifoni.
Ukitoa simatifoni au kubana hela ya bando au kuzuia kuchezea simu anapokuwa na wewe utashukuru atakosa kazi ya kufanya atafanya usafi
 
Ndugu yangu Wala usimpige, maradhi mengi siku hizi. Wewe kama unaweza kufanya fanya huwezi mrudishe kwao akapumzike.
Mwanamke mchafu n kero sana
 
Nafarijika navoona na wake wa wenzangu ni wachafu, nilidhani ni wakwangu tu! Niwambie tu mimi huwa nafanya usafi mwenyewe maana huyu mwanamke ameshindikana.
Msiba wa wengi ni sherehe
 
Mkuu
Mpangishie chumba kuwe mnakutana mara moja moja maana uchafu ni hatari atakuua mapema
 
Mwenye kutaka mwenza aisyekuwa na mapungufu ataishi upweke maisha yake yote.
 

Ana pepo majalala anahitaji maombi
 
B
BOra anaeoga mzee mvumilie nikazani mchafu wa mwili hapo ingekuwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…