Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

Uchafu nao ni kipengere
Kuishi na mtu mchafu ni kazi sana
Piga hesabu mwenyewe kama unaweza kuendelea nae hivo hivo ....kama huwezi asee unga tu kifurushi kingine
 
🤣🤣🤣🤣
Kuna wanawake nje wasafiiiii ingia vyumbani kwao sasa...utakomaa
 
Kabila gani kama waha piga chini maana uchafu ni asili yao.....
 
Fanya mwenyewe huo usafi, tafuta mtu mlipe afanye usafi na hela ya matumizi usitoe
 
 
Huyo si mke wa kiafrica bali na mwanaume mwenzako...
 
[emoji2][emoji2][emoji2]umelenga pale pale ndo hilo kabila lake mkuu yani daaah ni shida

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Muha
Mgogo
Mnyiramba (nje msafiii na mweupeee haya haya sasa ingia ndani kwake uone maajabu).
Asee hao hapo juu kwa uchafu wamesomeaa...... kama mpo nipopoeni tu mawe nipo nimekaa paleeeeeee


Tuliwahi pata dada wa kazi muha (alikuja na mtoto) asee kwanza alikuwa havai viatu/ndala, pili alikuwa akipika anakoroga uji wa ugali na kiganja hadi ukipata moto ndo anatumia mwiko....
Kama mtoto amejisaidia akiwa anapika anaenda anamfuta ma....vi then hamuogeshi wala yeye hanawi anarudi anaendelea kupika
 
Kama aliweza kumanage chumba kimoja basi huyo sio mvivu/mchafu.Mchunguze huenda amepata msongo wa mawazo hua pia unasababisha mtu kukosa hamu ya kufanya shughuli yeyote. Huenda kuna kitu kinamsumbua
Kipindi nipo nae tunaishi nyumba ya kupanga tena chumba kimoja hakunionesha hali yoyote ya uchafu. Kivumbi kimeanza baada ya sisi kujenga

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
viporo vimeozeana na uvundo wa samaki umetamalaki frijini au?
 
Daah! pole aisee! ndoa zina mambo aisee
 
Mwambie ataft house girl wa kitanga tena mshika dini atamsaidia kuelewa mambo ya usafii. Wanapiga deki Hadi uvunguniii
Kwa Maelezo ya Mtoa Mada, Muda mwingi hakai na Mke wake kutokana na Kazi ya Mkewe. Hivyo huko anaishi Mwenyewe sasa huyo Mtoto wa KITANGA ataleta MTANGANYIKO
 
Timua huyo wala usiongee mara mbili
 
Tafuta dada wa kazi mzuuuri zaidi yake, atabadirika tu pale atakapoona anafanya shuguri zingine ambazo alipaswa afanye yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…