Mke wangu msaliti

Mke wangu msaliti

Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe
Kosa lako lilianzia hapa mwanamke msaliti huwa hasamehewi

Iko hivi mwanamke msaliti ukishamsamehe lazima akudharau na kuendelea na tabia yake ya umalaya
 
Khaii ukiamuwa kumvumilia malaya ish nae kimaly malaya nae awe anajuwa just no future nae
 
Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika.

Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe. Mwez wa kumi karudia the same nkaamuru abadili namba ya simu akafanya hivyo.

Juzi tena nimeona kachat na jamaa mwngine like wise anadai kwenye chating aliulizwa uliyempost ndo mmeo akajibu n my friend ananisaidia mambo yangu.

Nimefikilia adhabu ya kumpa itakayobak fundisho kwake mana nahis ataelewa..natak adhabu ambayo nikimpa ataifeel..tang jana sijajib sms zake hd leo anajichatisha tu.

NB sms zake naziona kuptia seting niliyofanya kwenye simu yake naomba kuwaslisha
Ushamla 0714?
 
Back
Top Bottom