Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani ulichosema nisahihi kabisaaa [emoji817]
 
Kwaio kisa unamlipia ada ndo umpe ubini wako. hii haijakaa njema. Baba yake ni baba yake tu hata kama hahudumii aisee.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]witness sikujua km unamchamba hivi kaaahhh!!!kama anasoma hapa atakoma kuringa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]!!!Dada akale alikopeleka mboga
 
Hahahah!!!pisi Kali au siyoo!
Kachemka mwanamke mwenzetu!alipaswa awe mpole na mnyenyekevu kumpata mtu anakusomeshea mtoto wako kukubali kukustiri toka dogo yuko kachangaa!!jus jina tu then dem mwenyewe alikataliwa halafu analeta ujinga ujinga!
Itakua analeta feelings za kipumbavu sana Dada yule,yaani ukute demu bado analiwa na mshikaji live live
 
True...na uamini huwa wana upendo wa ajabu na hao wanaume japo ni sperm donor tu
Aseehh!mi sijui kama nnaweza kua na huo ujinga wa kupenda sperm donors.,hahahahaaaa yaani kabisa jitu limekutelekez then unalivua tena nguo!mweee
 
Toa mbegu upate mtoto wa ubini wako. Hilo ndio Jambo la msingi. Huyo mtoto wa kibaka yupo na muache.... Hakuhusu kiasi cha kumbadilisha jina lake la ukoo.
NI kweli umetoa maoni sahihi kwa upande moja wa jina.
Swala hapa NI kuwa mitizamo yao ilikuwa mbali mbali Sana. Alitakiwa itumike busara kumueleza Hilo sio kuhamaki.
Raha ya singe mother uwe na kipato
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]witness sikujua km unamchamba hivi kaaahhh!!!kama anasoma hapa atakoma kuringa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]!!!Dada akale alikopeleka mboga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732]
 
NI kweli umetoa maoni sahihi kwa upande moja wa jina.
Swala hapa NI kuwa mitizamo yao ilikuwa mbali mbali Sana. Alitakiwa itumike busara kumueleza Hilo sio kuhamaki.
Raha ya singe mother uwe na kipato
Na Raha ya kuwanae single mother awe na kipato ukianzisha mahusiano na single mother njaa kwao njaaa ladhima migogoro haitaisha
 
Mnaomkandia jamaa kuhusu kubadilisha majina moja wapo inawahusu hapa au
~mshawahi kutelekeza watoto kwa kukataa mimba au kukimbia mama zao Au
~Ni single mama unahudumiwa na mzazi mwenzako.
~Mwanaume unatumaga pesa ya matumizi kwa mzazi mwenzio ambaye kaolewa kwingine

MSINIULIZE KWA NINI
 
We jamaa Una kichwa kibovu kabisa! Mtoto WA mwanaume mwenzio umpe Jina lako? Na unajua Baba yake yupo hai?

I am a man, lakini nikueleze tu...hata Kama huyo dada waliachana na Baba mtoto wake Kwa ugomvi mkubwa kiasi gani,, hakuna mwanamke atabadili jina la Baba halisi WA mtoto wake. This one you need to forget forever.

Na ikiwa tatizo ni hilo la sijui kabila sijui Mila, trust me; huyo jamaa haikuwa hiari yake kumkataa mtoto. It was an influence from his family.

Technically and literally, hao wazazi bado wanapendana big time and the time will tell.

Sasa jifanye unajua kupenda fa*la wewe! Kama unataka kumbadili jina si uende kwenye ORPHANAGE ukachukue mmoja ufanye hivyo.

Acha uzezeta dingi. By the way, unaoaje single mother, wakati watoto wabichi wapo Tele kila Kona ambao unaweza kuwashape utakavyo mkafanya maisha?

Eti mtoto alikataliwa Kwa sababu ya kabila/Mila?! Umeyathibitisha vipi madai hayo.

Naandika Kwa hasira maana ungekuwa karibu ungekula makofi Kama upo ndani ya uwezo wangu.

Mwanamke aliyeshindwana na mwanaume "A" for whatever the reason, hawezi kamwe kutulia. Ile laana umtafuna daima.

Sasa endelea na huo usasa wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…