Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

We jamaa Una akili sanaaaa

Huyu mwanamke huyo NI muhuni sanaaaa

Ukiona hivyo huyo mwanamke anapokea matumizi Kwa ex wake (Baba mtoto ) kimya kimya, sasa anaogopa ikitokea akajua jina limebadilishwa wakati na yeye anatoa matumizi itakuwaje

Wewe unaona unamsomesha,kumbe mnatoa ela watu wawili Ila ya baba wake halisi anaila wewe hujui...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani ulichosema nisahihi kabisaaa [emoji817]
 
Kwaio kisa unamlipia ada ndo umpe ubini wako. hii haijakaa njema. Baba yake ni baba yake tu hata kama hahudumii aisee.
 
Wewe na singo maza wako wote mmekosea.

Tukianza na wewe ni kweli unahudumia mtoto, ila hukupaswa kubadilisha ubini bila kukaa na mwenzio mkakubaliana. ULIKOSEA KUFANYA MAAMUZI PEKE YAKO.

Tuje kwa singo maza wako, HAJIHESHIMU NA HAKUHESHIMU, ni kweli ulimkwaza na kumkosea ila ilitakiwa akwambie bila kutumia maneno makali kama "zaa wa kwako"

Kumuacha inawezekana ni sahihi au sio sahihi, hayo majibu yake yanatia mashaka.

Kusomesha mtoto na kufanya kila kitu, FANYA KAMA UNAMLEA YATIMA NA USITARAJIE LOLOTE, UKISHINDWA KUFANYA HIVYO NI BORA UACHE KABISA MAANA UTAUMIA ZAIDI YA HAPO.

Ni mimi singo maza mstaafu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hilo limwanamke ni lijinga sana sana

Hivi wewe umezalishwa limwanaume lililokuzalisha halitunzi mtoto, unapata mwanaume wa kukusaidia afu unajibu utopolo kisa kakwambia kubadili ubini wa mtoto[emoji849][emoji849]

Unawaka kabisa kwa kuchana daftari na kutukana juu, huyo mwanamke hampendi huyu mleta uzi

Mleta uzi piga chini hilo kahaba, mpaka lije liokotwe tena si leo wala kesho [emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]witness sikujua km unamchamba hivi kaaahhh!!!kama anasoma hapa atakoma kuringa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]!!!Dada akale alikopeleka mboga
 
Unajua nini huyo mwanamke bado anampenda huyo mwanaume aliyemzalisha na bado anamt.omba tena buuure!

Si unajua zile si wanawake tuna kale katabia ka kuzaa na mwanaume unayempenda na kumpa Chiu bure unayempenda, ndo vinamtesa huyo malayaa, ila ni lijinga kwa hapa alitakiwa atumie akili zaidi

NB:

Itakuwa ni pisi kali hiyo
Hahahah!!!pisi Kali au siyoo!
Kachemka mwanamke mwenzetu!alipaswa awe mpole na mnyenyekevu kumpata mtu anakusomeshea mtoto wako kukubali kukustiri toka dogo yuko kachangaa!!jus jina tu then dem mwenyewe alikataliwa halafu analeta ujinga ujinga!
Itakua analeta feelings za kipumbavu sana Dada yule,yaani ukute demu bado analiwa na mshikaji live live
 
True...na uamini huwa wana upendo wa ajabu na hao wanaume japo ni sperm donor tu
Aseehh!mi sijui kama nnaweza kua na huo ujinga wa kupenda sperm donors.,hahahahaaaa yaani kabisa jitu limekutelekez then unalivua tena nguo!mweee
 
Toa mbegu upate mtoto wa ubini wako. Hilo ndio Jambo la msingi. Huyo mtoto wa kibaka yupo na muache.... Hakuhusu kiasi cha kumbadilisha jina lake la ukoo.
NI kweli umetoa maoni sahihi kwa upande moja wa jina.
Swala hapa NI kuwa mitizamo yao ilikuwa mbali mbali Sana. Alitakiwa itumike busara kumueleza Hilo sio kuhamaki.
Raha ya singe mother uwe na kipato
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]witness sikujua km unamchamba hivi kaaahhh!!!kama anasoma hapa atakoma kuringa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]!!!Dada akale alikopeleka mboga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732]
 
NI kweli umetoa maoni sahihi kwa upande moja wa jina.
Swala hapa NI kuwa mitizamo yao ilikuwa mbali mbali Sana. Alitakiwa itumike busara kumueleza Hilo sio kuhamaki.
Raha ya singe mother uwe na kipato
Na Raha ya kuwanae single mother awe na kipato ukianzisha mahusiano na single mother njaa kwao njaaa ladhima migogoro haitaisha
 
Mnaomkandia jamaa kuhusu kubadilisha majina moja wapo inawahusu hapa au
~mshawahi kutelekeza watoto kwa kukataa mimba au kukimbia mama zao Au
~Ni single mama unahudumiwa na mzazi mwenzako.
~Mwanaume unatumaga pesa ya matumizi kwa mzazi mwenzio ambaye kaolewa kwingine

MSINIULIZE KWA NINI
 
Baba mzazi wa mtoto yupo hai ,uyu mwanamke mwnyewe anatambua familia ya jamaa ilikataa mimba kwa kigezo cha kabila/mila ..sio baba mtoto wala familia hakuna yotote aliyewahi kutoa hata senti kwa ajili ya mtoto wao.. baada ya kuniambia madhira hayo hivyo nikajiongeza kwa vile mtoto walimkataa nikaona si mbaya akatumia jina langu la ukoo.
Familia yao imemkataa kwa kigezo cha kabila na mila kuna sababu ya mtoto kutumia ilo jina?
We jamaa Una kichwa kibovu kabisa! Mtoto WA mwanaume mwenzio umpe Jina lako? Na unajua Baba yake yupo hai?

I am a man, lakini nikueleze tu...hata Kama huyo dada waliachana na Baba mtoto wake Kwa ugomvi mkubwa kiasi gani,, hakuna mwanamke atabadili jina la Baba halisi WA mtoto wake. This one you need to forget forever.

Na ikiwa tatizo ni hilo la sijui kabila sijui Mila, trust me; huyo jamaa haikuwa hiari yake kumkataa mtoto. It was an influence from his family.

Technically and literally, hao wazazi bado wanapendana big time and the time will tell.

Sasa jifanye unajua kupenda fa*la wewe! Kama unataka kumbadili jina si uende kwenye ORPHANAGE ukachukue mmoja ufanye hivyo.

Acha uzezeta dingi. By the way, unaoaje single mother, wakati watoto wabichi wapo Tele kila Kona ambao unaweza kuwashape utakavyo mkafanya maisha?

Eti mtoto alikataliwa Kwa sababu ya kabila/Mila?! Umeyathibitisha vipi madai hayo.

Naandika Kwa hasira maana ungekuwa karibu ungekula makofi Kama upo ndani ya uwezo wangu.

Mwanamke aliyeshindwana na mwanaume "A" for whatever the reason, hawezi kamwe kutulia. Ile laana umtafuna daima.

Sasa endelea na huo usasa wenu.
 
Back
Top Bottom