Baba mzazi wa mtoto yupo hai ,uyu mwanamke mwnyewe anatambua familia ya jamaa ilikataa mimba kwa kigezo cha kabila/mila ..sio baba mtoto wala familia hakuna yotote aliyewahi kutoa hata senti kwa ajili ya mtoto wao.. baada ya kuniambia madhira hayo hivyo nikajiongeza kwa vile mtoto walimkataa nikaona si mbaya akatumia jina langu la ukoo.
Familia yao imemkataa kwa kigezo cha kabila na mila kuna sababu ya mtoto kutumia ilo jina?
We jamaa Una kichwa kibovu kabisa! Mtoto WA mwanaume mwenzio umpe Jina lako? Na unajua Baba yake yupo hai?
I am a man, lakini nikueleze tu...hata Kama huyo dada waliachana na Baba mtoto wake Kwa ugomvi mkubwa kiasi gani,, hakuna mwanamke atabadili jina la Baba halisi WA mtoto wake. This one you need to forget forever.
Na ikiwa tatizo ni hilo la sijui kabila sijui Mila, trust me; huyo jamaa haikuwa hiari yake kumkataa mtoto. It was an influence from his family.
Technically and literally, hao wazazi bado wanapendana big time and the time will tell.
Sasa jifanye unajua kupenda fa*la wewe! Kama unataka kumbadili jina si uende kwenye ORPHANAGE ukachukue mmoja ufanye hivyo.
Acha uzezeta dingi. By the way, unaoaje single mother, wakati watoto wabichi wapo Tele kila Kona ambao unaweza kuwashape utakavyo mkafanya maisha?
Eti mtoto alikataliwa Kwa sababu ya kabila/Mila?! Umeyathibitisha vipi madai hayo.
Naandika Kwa hasira maana ungekuwa karibu ungekula makofi Kama upo ndani ya uwezo wangu.
Mwanamke aliyeshindwana na mwanaume "A" for whatever the reason, hawezi kamwe kutulia. Ile laana umtafuna daima.
Sasa endelea na huo usasa wenu.