usijekuta jamaa ana miaka 45, hana mke.Yaani umenena kama mawazo yangu, alafu mleta uzi bado hajampiga chini huyo single mother ila anahitaji ushauri, kwa mimi naweza sema ampotezee huyo single mother atafute kabinti kabichiii waanze nako maisha over
Mpe ubini wangu fasta tufanye maisha 😜😜😜Uko sahihi. .Na mimi nafikiria kufanya hvyo kumbadiliaha mwanangu ubini
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Singo maza wa kumuonea huruma ni aliefiwa na mume wake tu, hawa wengine hawajawahi hata kuolewa wanaozaa Kama wanyama na mabwana zao wako mitaani tu hawafai kuolewa wala kuonewa huruma Kama na wewe ni kati yao haya maumivu unayo yapata kupitia huo uzi unastahili kuyapata maumivu hayo tena ×100 zaid
Haiwezekan uzae kama mnyama alafu badae utafute ndoa kama binadam tena kwa mwanaume ambae huyo mtoto wako siyo wake , endelea kuishi hivyo hivyo kama mnyama uzalishwe kila mtoto na baba yake hicho ndo anacho stahili mwanamke asie jielewa.
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu atakae muoa mwanamke aliezalishwa na mwanaume mwengine hali ya kua huyo mwanaume wake yupo hai labda umloge au awe chizi wa mapenzi tu.
Kila mama ikiwepo wewe singo maza inafaa uwaambie watoto wako kuzaa bila ndoa ni laana kuwa singo maza wa kujitakia kisa tamaa ya pesa au uzinifu ni laaana pia.
Pumbavu mwenyewe kabla sijasahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpe ubini wangu fasta tufanye maisha [emoji12][emoji12][emoji12]
Bila shaka utakua singo maza uliekubuhu , endelea kujipa moyo hivyo hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hizi hasira zako juu ya masingle mothers nauhakika wewe ni maskini sana. Si wa fikra tu bali hata kipato [emoji23]. I am very sorry unahiyo mentality. Namuonea huruma mama aliyekuzaa. Katuletea tatizo zaidi ya Corona.
Kauli zake ni za kuchefua sana...Huyu mwanaume Yuko sahihi,mwanamke mwenzetu kapotoka Tena amediriki kusema "eti zaa wako"weweee mwanamke wewe hata adabu huna.Mumeo akiongea unatulia,unatafakari kwanza.Yaaani unagombana na mwanaume aliyekuheshimisha???Kaacha wanawake wote huko kakupokea wewe na Mtoto wako.Jamani weeeeeee wanawake tumezidi,tujifunze kutafakari kabla ya kutenda.Na mwanamke mpumbavu hujaza hasira ndani ya kifua chake.
So angemute tuu asiulize chochote kuuusu jina kubadilishwa kwakuwa tu anahitaji msaada? Jaman usingo maza sio ukilemaaBinamu ishu baba alimkataa mtoto angekua hajamkataa au anamhudumia sidhani kma angefanya hvyoo but the ishu hapa ni kua since anazaliwa yuko na step dad,Dada alipaswa aanglie zaidi future ya mtoto km baba angehudumia wala sio shida kabisa ila huyo ni sperms donor
Pamoja bossNdugu upo sahihi 100% hawa wanao kuponda ndo hao watelekezaji wenyewe, wanaona watapoteza haki kwa mtoto ilhali kuhudumia hawataki.
Na mwanamke hana akili huyo, yani miaka 4 yote unahudumia, kakanwa wala hatambuliki huko, kajina tu kachana hadi daftari na maneno ya kukukejeli juu, hana adabu muache avune anacho stahili.
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
[emoji2] Kawaida mkuu but shukraniOyaaaa hii quote yako sio mchezo [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kweli lakini bado hajachelewa kufanya maamuzi sahihi..Huwa wanadharau hao eti vijisenti sema mshikaji nae alijichanganya sana ila kuishi na single mother lazima uwe na akili kubwa na ya tahadhari sana maana lolote linaweza tokea
Uko sahihi kabisa mwamba, hawa watu wakati mwingine wanahitaji ukatili fulani ili akili iwarudiAcha niendelee na mambo yangu ya kitoto,ada ya shule na vitu vyote vya msingi alipie baba yake mzazi
Mimi nashangaa kwanini watu wanashindwa kuelewa hii key point, na kwanini hata alimpa jina la huyo jamaa wakati alimkataa mtoto angempa ubin wa mjomba tuBinamu ishu baba alimkataa mtoto angekua hajamkataa au anamhudumia sidhani kma angefanya hvyoo but the ishu hapa ni kua since anazaliwa yuko na step dad,Dada alipaswa aanglie zaidi future ya mtoto km baba angehudumia wala sio shida kabisa ila huyo ni sperms donor
Mbona hii scenario haihusiani na msaada, on normal perspective huyu jamaa ameonyesha unconditional love kwa mtoto na Mwanamke tena akitaka kabisa ammiliki despite akijua si mwanae biologically who does that ?So angemute tuu asiulize chochote kuuusu jina kubadilishwa kwakuwa tu anahitaji msaada? Jaman usingo maza sio ukilemaa
Alivyopanic hakuwa sawa kabisaaa
Ila pia alikuwa na haki ya kuuliza kwa ustaarabu. Mwanaume ukiongea nae wakati K imelalia ndizii weeeee anakuwa mdogo zaidi ya piritoni. Wangefikia muafaka tu