Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Safi sana mwamba huyo mwanamke hajielewi. Kuna watu wamerudia shule enzi hizo shule za sekondari ni chache mpaka leo wanatumia hayo majina yasio halisi na maisha yanasonga vizuri tu sembuse jina la baba wa kambo!

Mwanamke anaejielewa alitakiwa akushuru wewe kutoa jina lako kutumika kwa mtoto asie wako sababu mwenye mtoto alishamkataa.

Mwanamke mpumbavu kaibomoa nyumba yake mwenyewe.
 
Yaani umenena kama mawazo yangu, alafu mleta uzi bado hajampiga chini huyo single mother ila anahitaji ushauri, kwa mimi naweza sema ampotezee huyo single mother atafute kabinti kabichiii waanze nako maisha over
usijekuta jamaa ana miaka 45, hana mke.
ila ana katabia ka kutia mimba na kutelekeza wadada na watoto wao.
na matokeo mtaani ni ma single mother wa kutosha.
COPY KAMA HIZI UTAZIKUTA SANA ARUSHA & K' NJARO.
 
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
 
Singo maza wa kumuonea huruma ni aliefiwa na mume wake tu, hawa wengine hawajawahi hata kuolewa wanaozaa Kama wanyama na mabwana zao wako mitaani tu hawafai kuolewa wala kuonewa huruma Kama na wewe ni kati yao haya maumivu unayo yapata kupitia huo uzi unastahili kuyapata maumivu hayo tena ×100 zaid

Haiwezekan uzae kama mnyama alafu badae utafute ndoa kama binadam tena kwa mwanaume ambae huyo mtoto wako siyo wake , endelea kuishi hivyo hivyo kama mnyama uzalishwe kila mtoto na baba yake hicho ndo anacho stahili mwanamke asie jielewa.

Hakuna mwanaume mwenye akili timamu atakae muoa mwanamke aliezalishwa na mwanaume mwengine hali ya kua huyo mwanaume wake yupo hai labda umloge au awe chizi wa mapenzi tu.
Kila mama ikiwepo wewe singo maza inafaa uwaambie watoto wako kuzaa bila ndoa ni laana kuwa singo maza wa kujitakia kisa tamaa ya pesa au uzinifu ni laaana pia.
Pumbavu mwenyewe kabla sijasahau

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hizi hasira zako juu ya masingle mothers nauhakika wewe ni maskini sana. Si wa fikra tu bali hata kipato [emoji23]. I am very sorry unahiyo mentality. Namuonea huruma mama aliyekuzaa. Katuletea tatizo zaidi ya Corona.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hizi hasira zako juu ya masingle mothers nauhakika wewe ni maskini sana. Si wa fikra tu bali hata kipato [emoji23]. I am very sorry unahiyo mentality. Namuonea huruma mama aliyekuzaa. Katuletea tatizo zaidi ya Corona.
Bila shaka utakua singo maza uliekubuhu , endelea kujipa moyo hivyo hivyo
Ukikutana na mwanaume anaekuthamini ujue anataka kukuvua nguo kuonja tu alaf apite hivi.. hakuna mwanaume mwenye ndoto ya kuoa singo maza inatokea Kama ajali tu
 
Huyu mwanaume Yuko sahihi,mwanamke mwenzetu kapotoka Tena amediriki kusema "eti zaa wako"weweee mwanamke wewe hata adabu huna.Mumeo akiongea unatulia,unatafakari kwanza.Yaaani unagombana na mwanaume aliyekuheshimisha???Kaacha wanawake wote huko kakupokea wewe na Mtoto wako.Jamani weeeeeee wanawake tumezidi,tujifunze kutafakari kabla ya kutenda.Na mwanamke mpumbavu hujaza hasira ndani ya kifua chake.
Kauli zake ni za kuchefua sana...
Angekaa tu chini na mwenzake mwisho wangefikia muafaka. Alishindwa kufake hadi harusi kweli wakat mahari ameshalipiwa??
 
Binamu ishu baba alimkataa mtoto angekua hajamkataa au anamhudumia sidhani kma angefanya hvyoo but the ishu hapa ni kua since anazaliwa yuko na step dad,Dada alipaswa aanglie zaidi future ya mtoto km baba angehudumia wala sio shida kabisa ila huyo ni sperms donor
So angemute tuu asiulize chochote kuuusu jina kubadilishwa kwakuwa tu anahitaji msaada? Jaman usingo maza sio ukilemaa
Alivyopanic hakuwa sawa kabisaaa
Ila pia alikuwa na haki ya kuuliza kwa ustaarabu. Mwanaume ukiongea nae wakati K imelalia ndizii weeeee anakuwa mdogo zaidi ya piritoni. Wangefikia muafaka tu
 
Ndugu upo sahihi 100% hawa wanao kuponda ndo hao watelekezaji wenyewe, wanaona watapoteza haki kwa mtoto ilhali kuhudumia hawataki.

Na mwanamke hana akili huyo, yani miaka 4 yote unahudumia, kakanwa wala hatambuliki huko, kajina tu kachana hadi daftari na maneno ya kukukejeli juu, hana adabu muache avune anacho stahili.

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
Pamoja boss
 
Mwenye uzi HUNA AKILI.
Mwanamke kakujibu vizuri sana ila kilichomrudisha kwako kukuomba radhi ni njaa tu.
 
Huwa wanadharau hao eti vijisenti sema mshikaji nae alijichanganya sana ila kuishi na single mother lazima uwe na akili kubwa na ya tahadhari sana maana lolote linaweza tokea
Ni kweli lakini bado hajachelewa kufanya maamuzi sahihi..
 
Acha niendelee na mambo yangu ya kitoto,ada ya shule na vitu vyote vya msingi alipie baba yake mzazi
Uko sahihi kabisa mwamba, hawa watu wakati mwingine wanahitaji ukatili fulani ili akili iwarudi
 
mwanamke anayekupenda atakupa kila kitu alichonacho..kama hakutaka uwe baba yake kwa kila kitu asingeruhusu mtoto mwenye baba biological kuja kuishi nanyi hapo
 
Binamu ishu baba alimkataa mtoto angekua hajamkataa au anamhudumia sidhani kma angefanya hvyoo but the ishu hapa ni kua since anazaliwa yuko na step dad,Dada alipaswa aanglie zaidi future ya mtoto km baba angehudumia wala sio shida kabisa ila huyo ni sperms donor
Mimi nashangaa kwanini watu wanashindwa kuelewa hii key point, na kwanini hata alimpa jina la huyo jamaa wakati alimkataa mtoto angempa ubin wa mjomba tu
 
Akili zako mbovu sana,kisa tu unatoa huduma ndio uwe kihele hele kutoa jina kwa mtt mwenye baba yake!!!hv we unafaham uzito wa damu ya mtt wa watu???kama ni kumsomesha we somesha kwa mapenz yako tu kwa mama yake lkn siyo kuintroduce huo upuuzi wako..ipo siku baba yake angemfuata na mtalimana mapanga mchana kweupeee.
 
So angemute tuu asiulize chochote kuuusu jina kubadilishwa kwakuwa tu anahitaji msaada? Jaman usingo maza sio ukilemaa
Alivyopanic hakuwa sawa kabisaaa
Ila pia alikuwa na haki ya kuuliza kwa ustaarabu. Mwanaume ukiongea nae wakati K imelalia ndizii weeeee anakuwa mdogo zaidi ya piritoni. Wangefikia muafaka tu
Mbona hii scenario haihusiani na msaada, on normal perspective huyu jamaa ameonyesha unconditional love kwa mtoto na Mwanamke tena akitaka kabisa ammiliki despite akijua si mwanae biologically who does that ?
 
Natamani niseme huyo mwanamke bado ako na ka feeling flan kwa mzazi mwenzake...

Single mother's effect
 
Ungekua wewe ndio baba wa huyo mtoto alafu ujue kuwa mtoto amepewa mwanaume mwingine ungejisikiaje??. Acha kuwa mbinafsi mkuu
 
Back
Top Bottom