favourismyname
JF-Expert Member
- Jul 17, 2022
- 403
- 361
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulitaka ubambikiwe second hand material mtumba kwisha kazi.
Mwambie akwendre na litoto lake. Single mothers ni special Kama michepuko tu sio ndoa.
Mwenye kusikia wosia huu anitumie vocha
Wakati tumeachana alikuwa hajijui kama alikuwa na ujauzito amekuja kuniambia tayari tumeshatengana na Sasa ina miezi 4.Ayaaaa jmn
Hasa km ana mimba basi samehe tu
Mwanao asilelewe mbali na baba
Ndiyo mkuu nimeonaAmejibu, umeona!?
Ukipenda boga.....na ua lakeMnasema tu sababu hayajawakuta,hivi unawezaje kuishi na mtoto ambaye unatumia jina la mwingine huku wewe ukimuhudumia kila kitu??
Mwanaume ajivue matumizi ya huyo mtoto kwanzaUkweli mchungu ila ni hivi
Hakuna mechi inayoanza timu pinzani ikiwa inaongoza goli 1-0
*But kwa situation hii yako solution yake n ndogo sana, kama wewe ndio unaelipa ada basi inatakiwa mke wako akuheshimu na utumie jina lako as mtoto anavyo spend ada yako, kama hataki baba mtoto aanze kutoa ada
Note: Don't treat a woman like a celebrity because she will treat you like her fan
JamiiForums mobile app
Huyo Mama kawa traumatized na uchunguBaba hataki mtoto alimkataa
Aah hapo sawa mkuu!Wakati tumeachana alikuwa hajijui kama alikuwa na ujauzito amekuja kuniambia tayari tumeshatengana na Sasa ina miezi 4.
Matumizi natoa kama kawaida mtoto nitalea mwenyewe sitaki alelewe na baba mwingine
Sio ubinafsi , mbona wakati anamuhudumia mtoto husemi mtoto sio wake ,huyo mwanamke Hana akili otherwise kama matunzo ya mtoto kutoka Kwa mzazi mwenzieHuna mbegu za kumzalisha mtoto wa kumwita ubini wako? Acha ubinafsi uliopindukia.
Piga chini ndio. Mwanamke amefanya maamuzi sahihi kabisa. Wanaume wapo tuu.... Tena wa kutosha kwa wanawake wanaojielewa.
Jibu zuri , sema angekataa huduma za jamaa Kwa mtotoHehehe.. Jamani!! Kwani mtoto kutumia ubini wako lazima?. Bro acha kufanya mambo mepesi kua magumu namna hiyo.
Ila mwanamke mwenzangu ana majibu..eti zaa wa kwako khaa
Kwanza amekuona Kingo ila wakajadiliana na Maza wake wakagundua wanahitaji kuwa na wewe mpaka mission yao itimie ndipo wakupige chini.Be carefully na wanawake.Usiwe mkali kabisa kuanzia sasa acha jina libadilishw na jifanye umegundua ni muhimu mtoto atumie jina la baba yake na wapangie kasafari amazing halafu potea kabisa kwani huwawezi hao kwa kuongea utakuja kufa kama huyu wa hapa kwetuNatarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Haya hayafai kuwa mke kabsa labda kuyagegeda tuMa single mother yanajifanyaga yapo deep in love. Jichanganye kwa Ku data na blow job uangukie pua. Kuna jamaa yangu kakimbia nyumba yake kisa kitoto cha single mother
Kwa mambo mengi ambayo yametokea juu ya wanaokuwa na mahusiano na single mothers,Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Wewe ndo mwenye matatizo utampaje jina mtoto asiye wako kama vile sperm zako haziwezi totolesha