Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Ulitaka ubambikiwe second hand material mtumba kwisha kazi.
Mwambie akwendre na litoto lake. Single mothers ni special Kama michepuko tu sio ndoa.
Mwenye kusikia wosia huu anitumie vocha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ayaaaa jmn
Hasa km ana mimba basi samehe tu
Mwanao asilelewe mbali na baba
Wakati tumeachana alikuwa hajijui kama alikuwa na ujauzito amekuja kuniambia tayari tumeshatengana na Sasa ina miezi 4.
Matumizi natoa kama kawaida mtoto nitalea mwenyewe sitaki alelewe na baba mwingine
 
Suala hilo ungewashirikisha kwanza

Ni kama vile mama wa kambo akomae aitwe mama

Huwa tunawaambia niite tu mamdogo
 
Mnasema tu sababu hayajawakuta,hivi unawezaje kuishi na mtoto ambaye unatumia jina la mwingine huku wewe ukimuhudumia kila kitu??
Ukipenda boga.....na ua lake
Kwanini unafosi ubini?

Ila yaonekana dada anampenda baba mtoto wake ama moyoni hajamkubali mtu mpya bado
Kakubali basi tu
 
ACHANA NA HUYO MWANAMKE HATA KAMA UNAO UWEZO WA KUZALISHA

ACHANA NAYE .

MIMI NDIO NIMEKUAMBIA, ACHANA NAYE MARA MOJA

KWA HILO JIBU, NI WAZI UNATOMBEWAAAAAAAAAA SANAAAAAAAAAAAA YAAN SANAAAAAAAAAAAAAA NA UNADHAYLRAULIWA SANAAAAAAAA.

SIO KWA NIA MBAYA LA HASHA, MWANAMKE HUBEBA MIMBA YA MWANAUME ANAYEMOENDA KWA DHATI, BILA IVO WANGEKUA WANATOA MIMBA HIZO !!

HII INAMAANA GAN???? KUSHINDWA KWAKE KUOLEWA AU KUACHANA KWA SABABU ZIWE MBAYA AU KUACHANA TU KWA KUA IMETOKEA, KAMWE KAMWE KAMWE HAKUMFANYI HUYO MWANAMKE AONDOE UPENDO WA MWANAUME HUYO !!!.

NA KWA SABABU HIYO, WENGI WA WANAWAKE HAWA, WAMEINGIA KWENYE NDOA ILI MRADI TU KUONEKANA KUA WAMEOLEWA.

PIA WENGI WAO UKIMWAMBIA UNATAKA KUMUOA , ANATAFASIRI KUA, WEE MWANAUME NI GOEGOE SANAA FALA NA BOYA KWAMBA KAMA UMEKOSWA MWANAMKE AMBAYE HAJAZAA, MPAKA UMEENDA KWAKE, MAANA YAKE, YEYE YUKO NA UWEZO WA KUONGOZA BICHWA LAKO.

NAAA HIIHUPELEKEA MTOTO WA PILI KUA WAKO ILA WA 3, 4 5 SIO WAKO MWEEE.

NA UKIKUTA MWENYE AKILI MBOVU, HATA KUANZIA MTOTO WA 2 3 4 5 WANAKUA SIO WAKO

KWANN??? KIUHALISIA MATUMBO YA UZAZI YA WANAWAKE, HUWA HAWAPENDI YABEBE WATOTO WA WANAUME TOFAUTITOFAUTI.

NI WACHACHE TU NDO WENYE AKILI AMBAYE ANAJUA, UMEAMUA KUMUOA NAYE ANAWAJIBIKA KUKUHESHIM.
 
Ukweli mchungu ila ni hivi

Hakuna mechi inayoanza timu pinzani ikiwa inaongoza goli 1-0

*But kwa situation hii yako solution yake n ndogo sana, kama wewe ndio unaelipa ada basi inatakiwa mke wako akuheshimu na utumie jina lako as mtoto anavyo spend ada yako, kama hataki baba mtoto aanze kutoa ada

Note: Don't treat a woman like a celebrity because she will treat you like her fan

JamiiForums mobile app
Mwanaume ajivue matumizi ya huyo mtoto kwanza
Bi dada aisome namba
 
Wakati tumeachana alikuwa hajijui kama alikuwa na ujauzito amekuja kuniambia tayari tumeshatengana na Sasa ina miezi 4.
Matumizi natoa kama kawaida mtoto nitalea mwenyewe sitaki alelewe na baba mwingine
Aah hapo sawa mkuu!
Yote mema!
Angalia usije ukatengenezwa tu Ili umrudie
Wanawake Tuna mbinu nyingi
 
Makosa yako nikutaka kuoa single mother ! Unafikiri mpka Mungu anatuacha tupinge hii kitu ya kuoa single mother kakosea?
 
Huna mbegu za kumzalisha mtoto wa kumwita ubini wako? Acha ubinafsi uliopindukia.

Piga chini ndio. Mwanamke amefanya maamuzi sahihi kabisa. Wanaume wapo tuu.... Tena wa kutosha kwa wanawake wanaojielewa.
Sio ubinafsi , mbona wakati anamuhudumia mtoto husemi mtoto sio wake ,huyo mwanamke Hana akili otherwise kama matunzo ya mtoto kutoka Kwa mzazi mwenzie
 
Hehehe.. Jamani!! Kwani mtoto kutumia ubini wako lazima?. Bro acha kufanya mambo mepesi kua magumu namna hiyo.
Ila mwanamke mwenzangu ana majibu..eti zaa wa kwako khaa
Jibu zuri , sema angekataa huduma za jamaa Kwa mtoto
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.

Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.

Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Kwanza amekuona Kingo ila wakajadiliana na Maza wake wakagundua wanahitaji kuwa na wewe mpaka mission yao itimie ndipo wakupige chini.Be carefully na wanawake.Usiwe mkali kabisa kuanzia sasa acha jina libadilishw na jifanye umegundua ni muhimu mtoto atumie jina la baba yake na wapangie kasafari amazing halafu potea kabisa kwani huwawezi hao kwa kuongea utakuja kufa kama huyu wa hapa kwetu
 
Ma single mother yanajifanyaga yapo deep in love. Jichanganye kwa Ku data na blow job uangukie pua. Kuna jamaa yangu kakimbia nyumba yake kisa kitoto cha single mother
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.

Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.

Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Kwa mambo mengi ambayo yametokea juu ya wanaokuwa na mahusiano na single mothers,

1.Hakikisha kabla hujaingia nae kwenye mahusiano mzazi mwenzake ameshatangulia

2.Jua kabsa awali ni awali hamna awali mbovu
 
Kwel hapo umezingua hatakama una muhudumia utakiwi kumuita jina la lako baadae italeta mtafaruku kwa mtoto ,
Sema hongera kwa kumhudumia ila watoto kama hao uwa wanakaa kwa bibi zao mama zao wakiolewa ili wasiharibu ndoa .
 
Back
Top Bottom