Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Tayari zigo nimeshalitua ndugu yangu ,nilimuonea huruma baada ya mzazi mwenzake na ndugu wa jamaa kukataa mimba
Tafuta dem ambaye haja zaa wanawake waliozalishwa wengi wao hawanaga future ya maisha na pesa nyingi utakuwa unatumia kusomesha toto la mwanaume mwenzako kuliko kufanya maendeleo yako toka mwanzo ungekuwa unaishi na mwanamke ambaye haja zaa mngepiga atua kubwa ya kiuchumi unao sasa mnagombana maswala ya mtoto ambaye wewe akuusu galama ulizo tumia mpaka sasa ungekuwa unamiliki biashara au Viwanja na mashamba
 
Maamuzi ndio yameshatoka na uwa sifanyi maamuzi kwa kufata ushauri wa mtu nashirikisha ubongo wangu, mwanamke hawezi kunipanda kichwani hata siku moja kwangu utaishi kwa sheria na taratibu..unasema Hasara katika taifa wakati nimeajiri watu zaidi ya 200,
Wewe ni hasara,hata Kama umeajiri watu 100,000, kwanini ulilie mtoto wa mwanamme mwenzako bwana wewe?

Au huu uume wako Hauna uwezo wa kutiisha mimba?
 
Umefanya jambo zuri sana mkuu Tena sana hongera Kwa maamuzi mazuri,umeepuka mengi sana ,na umeona hatarii iliyokuwa inakuja mbele yako ,baadhi ya Wanawake ukijikomba unaoneKana falaa,Sasa bac tafuta mwanamke mwingine sio single maza ambaye hajielewi kama uyo wako,usijaribu kurudiana naye utapata shida Tena kubwa ya kujitakia.inaonekana uyo mwanamke anawasiliana na baba wa mtoto Tena Kwa Siri na Bado Wanapendana sana Tena sana .kwaiyo tafuta mwanamke mwingine sio single maza..
 
MUNGU ALIPOTOA AGIZO LA KUJA DUNIANI NA KUONGEZEKA, TUNAONGEZEKA KWA NJIA YA NGONO.MUNGU ANATAKA TUHESHIMU ZAWADI HIYO KWA KUFUATA MPANGO WAKE WA NDOA.-WAEBRANIA 13:4.
KWAMBA WATOTO WAPATIKANE KWENYE NDOA

NJE YA HAPO, NI KUFANYA MAMBO NJE YA MPANGO WA MUNGU. TUKUMBUKE,CHOCHOTE KILICHO KINYUME NA MPANGO WAKE HAKIDUMU,NA NI MWENDELEZO WA MAHANGAIKO KAMA ALIVYOKOSEA ADAMU.

HILI LA WASICHANA KUZAA KABLA YA NDOA AU KABLA YA KUJIPANGA,NI JANGA NA LINAWATESA SANA. WAO WANAONEKANA WAKO IMARA MDOMONI NA MITANDAONI ILA LINA WATESA SANA MOYONI NA KUWATAFU.

WALE WANA HARAKATI WA KUTETEA WANAWAKE WALITAKIWA KUSIMAMA HAPA!
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80 ,sms 30
Huo ndo uanaume
 
Wewe ndo mwenye matatizo utampaje jina mtoto asiye wako kama vile sperm zako haziwezi totolesha
Inshu ni sperm au kuwajibika jombi. Amefanya hivyo Kwa Nia ya Kumu asili Ili hi MTU yeyote Asije kuleta shda ndan ya ndoa yake.
 
Nimeshapata picha kwanini ulijibiwa hivyo...
Kumbe kuoa hutaki ila unataka mtoto...jibu lake lilikuwa na maana nioe ili tuzae na wewe upate wa ubini wake. Huyo Ana stress za kuhisi unamtumia tu. Sasa miaka minne yote humuoi kwanini
Hapana huyo Dada nae anakosea aseehh!Mimi kama baba halijielewei nabadilisha tu aende kokote akikua atajua kwa nini mmefanya hivyoo!
Mimi ningekubalia kabisaa!!kampata mtu wa kumsaidia then analeta ujinga itakula kwake!!
 
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80 ,sms 30
Nakupongeza mno. Hana busara, adabu na heshima.
 
Jag ska slarva burt mitt lugn,att rensa mitt huvud jäg kanner mig låg tappa kontrollen mitt hjärta är säyin lämna
ta det lugnt ... det är ingen stor fråga ... du bara skryter om det...hadet brä
 
[emoji38][emoji38] Hana njaa ? Simu za kuomba msamaha zimeshaanza kuingia
Mpotezee achana nae!!huyoo!!kalitafuta huyo mwanaume wake angekua anampenda angemhudumia yaani kupata mwanaume anakuhudumia na mtoto wako kizazi hiki singo maza wanatukanwa mda wote then analeta upuuzi!
Huyo baba ake sperms donor tu hana msaada ndo nimpe jina!Mi nna mawazo ya kikatili sana!yaani irresponsible dad usitegemee kupata huruma kwangu!
 
Angempa ubini wa babu yake au bibi yake ukifa kabla hujazaa nae mtoto kwa nini kujifunga
 
Nakuambia huna uwezo wa kumiliki mke na familia wewe,wewe ni mtu mwenye maamuzi ya kukurupuka Sana,na hili litakugalimu Sana katika maisha yako,unaonekana kupenda kufikia hitimisho bila kufikirisha ubongo wako,kwanza umekurupuka kwenda kubadili ubini wa mtoto bila idhini ya mwenzako,na bado umekurupuka kumuhukumu mwenzako kwa mawazo ya mitandaoni.

Wewe ni hasara Sana katika taifa hili
Yaniii
Huyo wala hakumpenda ila alikuwa naye kama kumhurumia tu. Mungu atampatia mwingine
 
Baba mzazi wa mtoto yupo hai ,uyu mwanamke mwnyewe anatambua familia ya jamaa ilikataa mimba kwa kigezo cha kabila/mila ..sio baba mtoto wala familia hakuna yotote aliyewahi kutoa hata senti kwa ajili ya mtoto wao.. baada ya kuniambia madhira hayo hivyo nikajiongeza kwa vile mtoto walimkataa nikaona si mbaya akatumia jina langu la ukoo
Kaka achana nae huyo Dada!yaani ukatae mtoto bado nkubembeleze Mimi huyuu!
Sijui nimeumbwaje aseehh!!nna roho mbaya sana!!yaani sina mda huoo! Huyo bado ana interest na mshikaji wake
 
Hapana huyo Dada nae anakosea aseehh!Mimi kama baba halijielewei nabadilisha tu aende kokote akikua atajua kwa nini mmefanya hivyoo!
Mimi ningekubalia kabisaa!!kampata mtu wa kumsaidia then analeta ujinga itakula kwake!!
Masingle maza wengi bado akili zao wanashikiwa na baba za watoto zao ndo maana Hata Baba watoto akitaka kumgonga muda wowote anakulaaa tuu yani
 
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80 ,sms 30
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1 haya akale alikopeleka mboga sasa!!!ngoja dunia imcheke na ukute ex na mashosti ndo walimshauri huo ujinga sasa akae atulie!
Na kwa kua alijua kuna ndoa karibu akajua ashakuweza tayari huna maamuzi ten
 
Mpotezee achana nae!!huyoo!!kalitafuta huyo mwanaume wake angekua anampenda angemhudumia yaani kupata mwanaume anakuhudumia na mtoto wako kizazi hiki singo maza wanatukanwa mda wote then analeta upuuzi!
Huyo baba ake sperms donor tu hana msaada ndo nimpe jina!Mi nna mawazo ya kikatili sana!yaani irresponsible dad usitegemee kupata huruma kwangu!
Majibu yake ndo yalikuwa mabaya sana na ya kinyama japo mwanaume nae alipaswa amjulishe kwanza habari ya jina wakat wa kumuandikisha. Kumuacha pia j8 maamuzi ya hasira mnoo
 
Back
Top Bottom