Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Wewe ndo mwenye matatizo utampaje jina mtoto asiye wako kama vile sperm zako haziwezi totolesha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu mtoa mada ni bonge la kilaza, analazimisha mtoto awe wake (kwa majina) daaah. By the way kumlea mtoto wa mtu kuna ulazima gani wa kubadilisha jina? Any way labda anataka kumrithisha mali zake hapo baadae kwakuwa hana sperm za kumzalisha mwanamke
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo Itakuwa jamaa sperm nyeupe yani mpaka demu anasema azae wakee duu si ampe mimba...
 
Shahawa za mwingine unazifanya zako dah

Hata hvyo maisha yenyewe mafupi nawewe umeamua isiwe kesi uyapunguze zaidi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Inafurahisha sana jamaa yangu, huyu mleta uzi anatafuta matatizo makubwa kutoka kwa baba mzazi wa mtoto labda kama huyo baba mzazi hajui kama kuna sehemu amezalia mtoto, yaani baba wa kambo ndio abadilishe majina ya mtoto wangu mimi?? Aisee hata kama nilitengana na mama yake usithubutu kujimilikisha mtoto wangu, wewe miliki mke tu. Huyo single mother yupo sahihi 100% pia anajielewa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo Itakuwa jamaa sperm nyeupe yani mpaka demu anasema azae wakee duu si ampe mimba...
Ila kama anamatatizo hayo pole yake.
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80 ,sms 30
Hapa wote wawili mna makosa,

Kosa lako: Wakati unakutana na huyu binti bila shaka ulikuwa unajua ana mtoto na mtoto aliyenaye anaye Baba, kuwa karibu na mtoto na kumpa huduma hakukufanyi kuwa baba Mzazi, unabaki kuwa baba mlezi, Hivyo basi toka mwanzo ulitakiwa kujadiliana na mwenza wako Hatima ya mtoto baada ya nyie kuoana.

Kosa la Binti: Baada ya wewe kukosea binti alitakiwa kutumia lugha ya busara bila kukuudhi ambapo angeendelea kutambua nafasi yako kama baba mlezi, hata kama mtoto ataenda kulelewa kwa baba mzazi baada ya wewe kumuoa Mama yake uhusiano usingekufa.

Ameonyesha dharau mapema sana.

NOTE: Unapotaka kumuoa Single mother tambua ya kuwa kuna umuhimu mkubwa sana kujua hatima ya mtoto baada ya ndoa, Maana huo ndio msingi wa namna ya kwenda mbele baada ya ndoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Inafurahisha sana jamaa yangu, huyu mleta uzi anatafuta matatizo makubwa kutoka kwa baba mzazi wa mtoto labda kama huyo baba mzazi hajui kama kuna sehemu amezalia mtoto, yaani baba wa kambo ndio abadilishe majina ya mtoto wangu mimi?? Aisee hata kama nilitengana na mama yake usithubutu kujimilikisha mtoto wangu, wewe miliki mke tu. Huyo single mother yupo sahihi 100% pia anajielewa.
Kuna kitu pia hakiko sawa, unapoenda kuandikisha mtoto shule wanataka na cheti cha kuzaliwa cha mtoto, hata kama hautakuwa nacho siku hiyo na wakafanikiwa kumwandikisha bado watakuambia upeleke copy.
 
Dah mwanamke mwenzetu huyo ujue..
Kosa moja na kuachwa juu
Q
Hata kama weee ni single maza mwanaume hana haki ya kubadili jina la mwanao bila kukaa na wewe kwanza na kujadiliana.
Angechukulia tu kibinadam amsamehe kwa kuwa ameomba msamaha kwa majibu mabaya
Technically Mwanamke mwenzenu anajua tangia mwanzo Baba mpaka ukoo na Familia wamekataa mtoto wake, hata kama akibadili Jina kwanini uumie na kutaka ujadiliane na mtu aliyekubali kumuhudimia mwanao

If someone thinks big there wasn't a point to argue why the man changed child name

Huyu jamaa hajakosea hata kidogo
 
Misaada tunayowapa watu bila masharti ni misaada yenye scenario za kawaida sana, hata mimi hua ninawasaidia sana watu wenye uhitaji tena bila masharti yoyote lakini

Hii issue ya huyu jamaa ni sensitive sana, naona watu wanaongea tu juu juu kurahisisha mambo, kama jamaa yupo tayari kumsomesha mtoto kuna ugumu gani mtoto kutumia jina lake?
Baba mtoto si yupo hai ana umuhimu gani wa mtoto kutumia jina lake ikiwa wajibu wake unatekelezwa na mwanaume mwingine.

Kwa hiyo nyie mnaona ni vigumu mtoto kubadilisha jina kuliko utayari wa jukumu la kumsomesha alilojipa jamaa?

Kama issue ya kupata watoto wake ni suala la muda la jamaa kulitekeleza, ila ni shida hata watoto wengine wakipatikana tayari wakakuta familia ina matabaka, huyu mtoto anatumia ubini huu, wao wanatumia huu, halafu kwa dalili hizo za huyo mama mtu usikute jamaa atakatazwa hata kumcharaza mtoto bakora kisa sio wake.

Mtoa maada, badilisha jina huyo mtoto then msomeshe, kama mama mtu hataki akamwambie mwenye ubini anaoutetea alete ada.
Kwa mama mwenye uelewa na umuhimu wa elimu asingekukatalia ila hadi anakataa usikute bado anampenda baba wa huyo mtoto na pengine bado wanawasiliana na kushauriana namna ya kukuona wewe boya.
Mkuu umemaliza kila kitu,jamaa afuate tu huu ushauri.
 
Ndugu upo sahihi 100% hawa wanao kuponda ndo hao watelekezaji wenyewe, wanaona watapoteza haki kwa mtoto ilhali kuhudumia hawataki.

Na mwanamke hana akili huyo, yani miaka 4 yote unahudumia, kakanwa wala hatambuliki huko, kajina tu kachana hadi daftari na maneno ya kukukejeli juu, hana adabu muache avune anacho stahili.

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
Technically Mwanamke mwenzenu anajua tangia mwanzo Baba mpaka ukoo na Familia wamekataa mtoto wake, hata kama akibadili Jina kwanini uumie na kutaka ujadiliane na mtu aliyekubali kumuhudimia mwanao

If someone thinks big there wasn't a point to argue why the man changed child name

Huyu jamaa hajakosea hata kidogo
Duh
Kusaidiwa lakini sio utumwa wala kumililiwa mkuu.
Ila umasikini ni mbaya sana..unajfanya unauza utu wako na utu wa mwanao.
Basi tena ndo hivyo
 
Duh
Kusaidiwa lakini sio utumwa wala kumililiwa mkuu.
Ila umasikini ni mbaya sana..unajfanya unauza utu wako na utu wa mwanao.
Basi tena ndo hivyo
Binamu ishu baba alimkataa mtoto angekua hajamkataa au anamhudumia sidhani kma angefanya hvyoo but the ishu hapa ni kua since anazaliwa yuko na step dad,Dada alipaswa aanglie zaidi future ya mtoto km baba angehudumia wala sio shida kabisa ila huyo ni sperms donor
 
Duh
Kusaidiwa lakini sio utumwa wala kumililiwa mkuu.
Ila umasikini ni mbaya sana..unajfanya unauza utu wako na utu wa mwanao.
Basi tena ndo hivyo
Huyu mwanaume Yuko sahihi,mwanamke mwenzetu kapotoka Tena amediriki kusema "eti zaa wako"weweee mwanamke wewe hata adabu huna.Mumeo akiongea unatulia,unatafakari kwanza.Yaaani unagombana na mwanaume aliyekuheshimisha???Kaacha wanawake wote huko kakupokea wewe na Mtoto wako.Jamani weeeeeee wanawake tumezidi,tujifunze kutafakari kabla ya kutenda.Na mwanamke mpumbavu hujaza hasira ndani ya kifua chake.
 
Niliwahi kuisoma hapa hapa Jf mdau mmoja akiandika karibia 90% mabinti waliozaa kabla ya ndoa waliwapenda sana hao wazazi wenzao kiasi kwamba hata kama hawakuolewa nao ila Bado wanawapenda sana na muda wowote wanaweza kuwapa tunda kimasihara ila hao wengine 10% ndo wale waliojikuta wamepata mimba either kwa kubakwa hao ndo masingo mother's ambao wanaweza kuolewa na wasiwape tunda wale wazazi wenzao"
Ushauri huyo piga chini yuko kwenye wale 90%
 
Mkiambiwa hao watu sio wa kuoa hamsikii mnajifanya kina romeo kama hataki ishu ni moja tu baba yake ahudumie mtoto full stop. Akikaa kwako na huduma ni zako huyo ni wako una haki nae kama mama kaona huna hiyo haki apite kushoto tafuta mtoto mbichi oa muache huyo kima.
 
Back
Top Bottom